Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Yes vile vidabaishwavyo na bacteria Aina ya pilory ,,Namba 5 sijaelewa
Ugonjwa ulioorodhesha ni vidonda vya tumbo au?
Ngoja tuongeze hapoKwanini mnasahau AFYA ya AKILI?.. mfano wenye tatizo la AFYA ya AKILI mtawaona kwa mifano hai.. fatilia tu comments chache ktk huu uzi.
Ngono isiyosalama inasababisha ulcers?
😂Tatizo la upungufu nguvu za kiume hujaliweka
Jichanganye tusasa ngono na ulcers wapi na wapi, eti dip kiss ndiyo ngono isiyo salama, kwahiyo ulitaka wavae mdomu mdomoni?
Magonjwa ya akili??Kwanini mnasahau AFYA ya AKILI?.. mfano wenye tatizo la AFYA ya AKILI mtawaona kwa mifano hai.. fatilia tu comments chache ktk huu uzi.
Tatizo la upungufu nguvu za kiume hujaliweka
Jaribu kunywa maji mengi mchana tatizo likiendelea jaribu kuonana na dctryHv kama nahis kiu usiku yaan saa nane au tisa lazima niamke kunywa maji inaweza kua tatizo?
Nyimbo zetu, mirungi, mishisha, mibangi selemaniKatika Uzi huu nitaorodhesha magonjwa tishio kwa vijana 90% hutokana na Ngono na Uraibu
1. Ugonjwa wa Figo
Visababishi
-UTI isiyotibiwa
-Matumizi ya sigara
- ulevi
- high blood pressure isiyodhibitiwa
-kutokufanya mazoezi
- Kutokunywa maji
2. UTI
-Ngono isiyosalama
-Masuaka ya Usafi
3. HIV/AIDS
-ngono isiyosalama
4. Homa ya ini
- Ngono isiyosalama
-Visababishi vingine
5. H. Pilory (vidonda vya tumbo
-Ngono isiyosalama ( dip kiss)
-Visababishi vingine
6. Brucellosis (maumivu ya viungo)
-Ulaji wa mazao ya mifugo yenye bacteria
-
7. PID
Ngono isiyo salama
-maambukizi mengine
8. Afya Ya akili
Visababishi
-kipato Duni
- Visababishi vingine vya kimazingira
Hili ndilo gonjwa nambari moja kwa vijana na hayo mengine 1 mpaka 7 yanatokana na namba 88. Afya Ya akili
Visababishi
-kipato Duni
- Visababishi vingine vya kimazingira