A adili2 JF-Expert Member Joined May 22, 2021 Posts 993 Reaction score 767 Feb 9, 2024 #1 Wakuu, Nipo halmashauri ya Bukoba. Nimegundua miembe yangu inapata kitu kama vumbi jeusi kwenye majani, maembe yanakuwa madogo yenye madoa meusi. Huu ni ugonjwa gani na dawa yake ni ipi? Natanguliza shukrani.
Wakuu, Nipo halmashauri ya Bukoba. Nimegundua miembe yangu inapata kitu kama vumbi jeusi kwenye majani, maembe yanakuwa madogo yenye madoa meusi. Huu ni ugonjwa gani na dawa yake ni ipi? Natanguliza shukrani.
Ramuz_store Member Joined Feb 13, 2024 Posts 8 Reaction score 3 Mar 21, 2024 #2 adili2 said: Wakuu, Nipo halmashauri ya Bukoba. Nimegundua miembe yangu inapata kitu kama vumbi jeusi kwenye majani, maembe yanakuwa madogo yenye madoa meusi. Huu ni ugonjwa gani na dawa yake ni ipi? Natanguliza shukrani. Click to expand... Habari, mpambanaji.
adili2 said: Wakuu, Nipo halmashauri ya Bukoba. Nimegundua miembe yangu inapata kitu kama vumbi jeusi kwenye majani, maembe yanakuwa madogo yenye madoa meusi. Huu ni ugonjwa gani na dawa yake ni ipi? Natanguliza shukrani. Click to expand... Habari, mpambanaji.
Bwana Mpanzi JF-Expert Member Joined Jun 28, 2019 Posts 200 Reaction score 195 Mar 26, 2024 #3 adili2 said: Wakuu, Nipo halmashauri ya Bukoba. Nimegundua miembe yangu inapata kitu kama vumbi jeusi kwenye majani, maembe yanakuwa madogo yenye madoa meusi. Huu ni ugonjwa gani na dawa yake ni ipi? Natanguliza shukrani. Click to expand... Magonjwa makubwa ya miembe ni Ubwiri Unga au Powdery mildew na Chule au Anthracnose. Sumu za kutibu na kuzuia zipo. Kwa mengi wasiliana na 0714 600575
adili2 said: Wakuu, Nipo halmashauri ya Bukoba. Nimegundua miembe yangu inapata kitu kama vumbi jeusi kwenye majani, maembe yanakuwa madogo yenye madoa meusi. Huu ni ugonjwa gani na dawa yake ni ipi? Natanguliza shukrani. Click to expand... Magonjwa makubwa ya miembe ni Ubwiri Unga au Powdery mildew na Chule au Anthracnose. Sumu za kutibu na kuzuia zipo. Kwa mengi wasiliana na 0714 600575
M Magezi bugaga JF-Expert Member Joined Jul 7, 2021 Posts 1,181 Reaction score 1,594 Apr 13, 2024 #4 Je una utaratibu wa kupulizia viuatilifu? Kama ni hapana jifunze Kwa walio kutangulia maana kilimo Cha sasa sio kile Cha bustani ya Eden kuwa utapanda na kuvuna bali ni kuweka jitihada maana visumbufu ni vingi vya mazao.
Je una utaratibu wa kupulizia viuatilifu? Kama ni hapana jifunze Kwa walio kutangulia maana kilimo Cha sasa sio kile Cha bustani ya Eden kuwa utapanda na kuvuna bali ni kuweka jitihada maana visumbufu ni vingi vya mazao.