Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari, mpambanaji.Wakuu,
Nipo halmashauri ya Bukoba. Nimegundua miembe yangu inapata kitu kama vumbi jeusi kwenye majani, maembe yanakuwa madogo yenye madoa meusi.
Huu ni ugonjwa gani na dawa yake ni ipi?
Natanguliza shukrani.
Magonjwa makubwa ya miembe ni Ubwiri Unga au Powdery mildew na Chule au Anthracnose.Wakuu,
Nipo halmashauri ya Bukoba. Nimegundua miembe yangu inapata kitu kama vumbi jeusi kwenye majani, maembe yanakuwa madogo yenye madoa meusi.
Huu ni ugonjwa gani na dawa yake ni ipi?
Natanguliza shukrani.