Kondo Zahran Humbwaga
New Member
- Nov 22, 2016
- 2
- 0
Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh,
Shalom. Bismillah rahman rahim.
Kitani hutibu magonjwa haya;
-Uvimbe wa tumbo la chakula,
-Kujaa Gesi Tumboni,
-Vidonda vya tumbo,
-Maambukizi kwenye njia ya mkojo,
-Kuvimba kwa kibofu
-Kuvimba kwa njia ya juu ya upumuaji,
-H Pylori,
-Uzito kupita kiasi japo hapa unaweza enda mpaka siku 90.
Kitani ni Flaxseed: Utaratibu wa kujitibu katika siku 21 kwa kutumia Kitani;
Siku 1 hadi 7: changanya kijiko 1 flat cha unga wa kitani cha chai na maziwa mazito ya mtindi mls 100 kila siku, kunywa katika tumbo kavu.
Siku 8 hadi 14: Changanya vijiko 2 flat vya chai vya unga wa kitani na mls 100 ya mtindi mzito.
Siku 15 hadi 21:
Ongeza vijiko 3 flat vya unga wa kitani kwa mls 150 ya mtindi mzito.
Kunywa mchanganyiko kabla ya kifungua kinywa nusu saa mpaka lisaa kabla.
NB: Tumia unga wa kitani, kwa siku 21 robo inatosha, inaweza kuwa kati ya elfu 3 mpaka 10.