Magori atangazwa kuwa makamu wa rais Simba

Magori atangazwa kuwa makamu wa rais Simba

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Uchaguzi SimbaSC, Crecentius Magori ametangazwa na Kaimu Rais wa Simba, Salim Abdallah kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simba SC Holding Limited.

Magori ni mwenyekiti wa kamati ya mashindano ya Simba na pia alikuwemo katika Kamati ya Utendaji ya Klabu hiyo inayomaliza muda wake. Pia amewahi kuwa Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF).

Crescentius Magori amechaguliwa kuwa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba (CEO) huku akipewa jukumu la kuhakikisha Simba inatawala soka la Afrika.
 
Hii taarifa mbona kama haieleweki hivi au Mimi ndiyo siielewi ?
 
Nyadhifa SSC
Ndugu mbona unachanganya vyeo mara CEO, mara makamu rais huyo huyo Magori why? Be specific
 
stoo ya simba imeajiri mlinzi kibaka.... muda utaongea tu
 
Ajabu wanaompigia magoti jamaa ndio hao hao wanaolalamika.Simba hata hawana wasiwasi. Wapiga chabo ndio wanaolalama.
Timu yao haina hata viongozi wala kamati ya uchaguzi mpaka TFF imebidi iwasaidie.
Mpo uchi lakini mna comment kuhusu suti za wenzenu eti rangi yake haivutii.
Muungwana akiwa uchi huchutama lakini mshenzi husimama na kuonyesha uchi wake.
 
Huyo Kindoki Mcongo ...Beno huwezi kumfunga vile nje ya 18..Jana na Alliance Kapombe si alikuwepo...hivi kocha wa makipa Simba nani??? goli la NNE msimu huu Manula anafungwa nje ya 18..watu tumeshaanza kuzichanga kwenda AFCON 2019 asituletee uanithi
Hata Kiswahili nacho ni shida, Kingereza itakuwa vipi?
Yaani mwamuzi anaona aibu kutoa penati wachezaji wa simba wakishika ndani ya 18? Duh!
stoo ya simba imeajiri mlinzi kibaka.... muda utaongea tu
Siku zote simba inaongozwa na viongozi majizi na matapeli ndiyo maana kila siku inadondokea pua!
 
Na bado mtaweweseka sana.Mmeanza kumkashifu kocha hata Kibaha hamjafika. Mikoani mtachapana bakora.
 
Back
Top Bottom