figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Uchaguzi SimbaSC, Crecentius Magori ametangazwa na Kaimu Rais wa Simba, Salim Abdallah kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simba SC Holding Limited.
Magori ni mwenyekiti wa kamati ya mashindano ya Simba na pia alikuwemo katika Kamati ya Utendaji ya Klabu hiyo inayomaliza muda wake. Pia amewahi kuwa Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF).
Crescentius Magori amechaguliwa kuwa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba (CEO) huku akipewa jukumu la kuhakikisha Simba inatawala soka la Afrika.