figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Hii taarifa mbona kama haieleweki hivi au Mimi ndiyo siielewi ?Uchaguzi SimbaSC, Crecentius Magori ametangazwa na Kaimu Rais wa Simba, Salim Abdallah kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simba SC Holding Limited.
Magori ni mwenyekiti wa kamati ya mashindano ya Simba na pia alikuwemo katika Kamati ya Utendaji ya Klabu hiyo inayomaliza muda wake. Pia amewahi kuwa Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF).
Crescentius Magori amechaguliwa kuwa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba (CEO) huku akipewa jukumu la kuhakikisha Simba inatawala soka la Afrika.
Soma vizuri hajakosea kuandika.Nyadhifa SSC
Ndugu mbona unachanganya vyeo mara CEO, mara makamu rais huyo huyo Magori why? Be specific
Acha majunguSiku zote simba inaongozwa na viongozi majizi na matapeli ndiyo maana kila siku inadondokea pua!
Huyo Kindoki Mcongo ...Beno huwezi kumfunga vile nje ya 18..Jana na Alliance Kapombe si alikuwepo...hivi kocha wa makipa Simba nani??? goli la NNE msimu huu Manula anafungwa nje ya 18..watu tumeshaanza kuzichanga kwenda AFCON 2019 asituletee uanithi
Hata Kiswahili nacho ni shida, Kingereza itakuwa vipi?
Yaani mwamuzi anaona aibu kutoa penati wachezaji wa simba wakishika ndani ya 18? Duh!
stoo ya simba imeajiri mlinzi kibaka.... muda utaongea tu
Siku zote simba inaongozwa na viongozi majizi na matapeli ndiyo maana kila siku inadondokea pua!