GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nimetizama kiumakini kabisa Goli la Yanga SC na sijaona na sioni kwanini Poti wangu kutoka Mkoani Mara (Musoma) Crescentius Magori umekimbilia Kumlaumu Kipa Camara. Magori ingekuwaje kama Kipa Camara asingeenda Kuupangua ule Mpira kwa Kusimama na Goli kuingia? Si ungemuua kabisa Kijana wa Watu kutoka Conackry Guinea?
Magori inamaana pamoja na Kumaliza Mafunzo yako ya Ukocha bado tu hujaweza Kuuchambua Mpira Kitaalamu? Kwahiyo Poti wangu Magori na Wewe kabisa ulikuwa unaamini kuwa Simba SC yako / yetu ambayo bado inajijenga leo ingefunga Yanga SC ambayo imeshajidhatiti kwa Ufundi ndani ya Uwanja na Umafia wa Nje ya Uwanja?
Magori inakuwaje unapenda sana kuwa karibu na Rafiki yako Said Tully ambaye nilisoma nae Shighatini Mwanga Mkoani Kilimanjaro pamoja na Mchezaji wetu wa zamani Wycliff Keto ambapo Mimi GENTAMYCINE namjua ni Shabiki wa Yanga SC lia lia halafu Simba SC kwa Kukurupuka kwenu mkampa Ujumbe na sasa hayuko ila anapata Siri nyingi za Ndani na Kuziuza kwa Upande wa Pili na Kutudhuru?
Poti wangu Magori nakujua kabisa kuwa Wewe ni Mafia wa Soka la Tanzania inamaana hadi leo hii hujajua tu kuwa Msemaji wako Ahmed Ali ni mwana Yanga SC lia lia na kwamba huwa anazungumza Mambo ya Simba SC akiwa anawashtua Yanga SC ili wajiandae vyema nasi ili waje Kutuadhibu kama ambavyo leo wametuahibu tena?
Magori Simba SC yako / yetu itashinda Mechi zingine zote ila siyo kwa Kumfunga Yanga SC kwa miaka ya sasa Okay?