Uchaguzi 2020 Magreth Sitta anaenda bungeni kufanya nini?

Nimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura..
Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?
Anataka kwenda kufanya nini?
Kwani lazima kuwa mbunge?

Sijaelewa kabisa...
Wivu ni kidonda ukiushiriki utakonda

Ova yani
 
Hata Lissu alikuwa analipwa hivyo? Hapana bhana kamanda Lissu angekataa au angesema nusu iende kwa wananchi
 
Nimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura..
Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?
Anataka kwenda kufanya nini?
Kwani lazima kuwa mbunge?

Sijaelewa kabisa...

Hata Mimi nimeshangaa na wakikujibu hebu 'nitagi' na Mimi pia. Hata hivyo aliyenishangaza zaidi tu ni 'Former First Lady' Salma Kikwete. Kazi ipo!
 
Tunaongelea Wabunge na Bunge na ndiyo maana nimetumia neno institution !
Soma mada uelewe kwanza kabla hujachangia.

Kuna tofauti kati ya kusoma na kuelewa. Nadhani umesoma, sina uhakika ..
Nimeelewa ila nadhani sio kweli Kwan kwa uzalendo wa Lissu hakika angepinga kulipwa mapesa yote hayo wakati wananchi wako na mashida
 
Nipo kwenye kampeni za ACT - Wazalendo hapa kivukoni. Duh Kama wanafika watu 100 sidhani
 
Yule mama sijawahi ona impact yake jamani..hivi hawaoni hata aibu jamani mbwa Hawa!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£

Punguza hasira my Dearr....πŸ˜‚πŸ˜‚

Inakera basi tu.

Imagine first lady.. 10 years state house... Mme Rais 10 years.. Bado anahitaji ubunge..

Africa ni hell aisee.. Yani ule moto wa mbinguni mi naona ndo Africa yenyewe.

Unbelieavable. Haki tena pesa haijawahi tosha.
 
Hata Mimi nimeshangaa na wakikujibu hebu 'nitagi' na Mimi pia. Hata hivyo aliyenishangaza zaidi tu ni 'Former First Lady' Salma Kikwete. Kazi ipo!
Bibi yako Anne Makinda akiwa spika wa Bunge aliwahi sema wabunge ni 'FRUSTRATED GROUP'..Akitetea maslahi yao. Imagine....
 
Huyo unamuonea tu ni mjane, anakwenda kutafuta riziki ya kujikimu.

Maajabu yapo jimbo la Mchinga, Salma Kikwete Mungu amenyima nini?

Kama Watanzania wangekuwa wanajitambuwa hawa wamama wawili ni wa kupigwa chini ili wakajifunze busara kwanza.
Ni kweli ni mjane. Tunao wajane wa aina nyingi. Kuna wale ambao waliteseka hata kabla ya kufiwa na waume zao kwa jinsi walivyokuwa na umaskini wa kutupwa. Hivi kweli huyu mjane ambaye aliwahi kuwa Waziri na baadae Mhe. Mbunge anastahiki huruma zaidi ya hao?
 
Im afraid these mps are heavily indebted.. Yani wana madeni kufaa..
Maana si kawaida. Huyu bibi ni wa kupumzika sasa.. Tour the world.. Enjoy retirement packages..Eat well... Drink... Enjoy.

Unbelievable.

Cc. Charles Kimei.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 

Inakera..maana sijui tusemeje jitu linaingia bungeni toka liko 30's had menopause bado linataka tu cheo...!ndo haya yakiachwa na serikali unalikuta haliwezi hata kufungua kampuni..
Hawa wamama Sasa hivi wangekua na kampuni zao zimesimama vizuri Sana wakawa wanaajiri vijana...yamejaa tu hapo kufikiria ulaji...kudos kwa Waziri mmoja aliwahi kuwa wa waziri wa Utalii kipindi Cha Jk sijui yule mama anafanya nn sasa hv alikua anakata panki pale saafi kbs. Jina limenitoka!
Yanakera Sana haya majitu
 
Na ni lini MBOWE ataachia uenyekiti kwa watanzania wengine au ni MFALME?
 
Alisha waona WANANCHI wa Urambo ni mijinga ya kutupwa.
 
Hatarii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…