Mkuu Bungeni ndio eneo unalolipwa kwa kukaa kwenye kiti chako cha kazi.
Ni eneo unalonunua gari lako na nusu ya pesa inalipwa a kodi za mlalahoi wa dola 1 kwa siku
Ndilo eneo unalopewa pesa ya mafuta kwa kwenda kazini kwako
Ndilo eneo unalolipwa kwa kuwa kwenye kamati ya kazi yako mwenyewe.
Ni eneo unaloweza kulala tu kutwa nzima na hakuna anaykuuliza ''deliverables'
Ni eneo ambalo Mbunge, spouse , housegirl na jirani wanaweza kwenda kumsalimia India na kulipwa posho.
Ni eneo unalolipwa kiinua mgongo kikali kuliko kazi nyingine yoyote nchini
Ni eneo ambalo husubiri miaka 65 kupata mafao, siku ya mwisho unapata mamilioni karibu na bilioni.
Kwanini anakwenda Bungeni? Ni ''addiction' ya pesa. Ili aache na abaki salama bila withdraw symptoms, lazima umpe pesa kidogo kidogo kwa miaka 5 . Kidogo kidogo I mean kama milioni 10 kwa mwezi