Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Atakwambia kuleta maendeleo? Ati magnet sita na heche au mdee mwenye ushawishi sittaNimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura..
Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?
Anataka kwenda kufanya nini?
Kwani lazima kuwa mbunge?
Sijaelewa kabisa...
Bungeni ni shamba la bibi kizee ukifika huko unaonga dawati kupongeza uhuni wa waziri na bajeti yake baada ya hapo naingiza mamilion ya fedhwa.Nimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura..
Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?
Anataka kwenda kufanya nini?
Kwani lazima kuwa mbunge?
Sijaelewa kabisa...
Maccm kuanzia mgombea wao wa urais yanaamini ni wao tu wanaostahili kuwa viongozi wa nchi ambayo tayari imeshawashinda.Nimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura..
Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?
Anataka kwenda kufanya nini?
Kwani lazima kuwa mbunge?
Sijaelewa kabisa...
Za chini ya kapeti hili mama lilivyo na roho mbaya limedhurumu mpaka mirathi kwa watoto wa Samwel Sitta ambao hajazaa yeye, na nilichawi kweli kweli, mtoto mmoja wa Samwel Sitta mwaka juzi pale Dodoma nusu afe katika mazingira yenye utata mtupu.Im afraid these mps are heavily indebted.. Yani wana madeni kufaa..
Maana si kawaida. Huyu bibi ni wa kupumzika sasa.. Tour the world.. Enjoy retirement packages..Eat well... Drink... Enjoy.
Unbelievable.
Cc. Charles Kimei.
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Nimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura..
Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?
Anataka kwenda kufanya nini?
Kwani lazima kuwa mbunge?
Sijaelewa kabisa...
Hata mama salma kikwete anaenda kufanta nn!Nimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura..
Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?
Anataka kwenda kufanya nini?
Kwani lazima kuwa mbunge?
Sijaelewa kabisa...
Nakubali kabisaa...💯💯Za chini ya kapeti hili mama lilivyo na roho mbaya limedhurumu mpaka mirathi kwa watoto wa Samwel Sitta ambao hajazaa yeye, na nilichawi kweli kweli, mtoto mmoja wa Samwel Sitta mwaka juzi pale Dodoma nusu afe katika mazingira yenye utata mtupu.
Kusifu na kuabuduNimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura..
Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?
Anataka kwenda kufanya nini?
Kwani lazima kuwa mbunge?
Sijaelewa kabisa...
Nije sikia hawa watu wanaFOKEA vijana wajiajiri..!! Haki tena..Hata mama salma kikwete anaenda kufanta nn!
JESUS IS LORD[emoji120]
Lakini mkuu siyo wamama peke yao, kuna mzee kama Wassira na wengineo. Tamaa na kutokuridhikaHawa wamama wanafikirisha sana. Huu ni uroho wa hali ya juu.
Anaenda kufaidi matunda ya sheria walizojitengenezea za kula keki ya Taifa,hauhitajiki kutumia akili kuwa Milionea ukiwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,ukiingia unabaki kusaini cheques na mkwanja mnono unasoma Benki.No Stress,you eat your buttered bread without trouble there.Mkuu Bungeni ndio eneo unalolipwa kwa kukaa kwenye kiti chako cha kazi.
Ni eneo unalonunua gari lako na nusu ya pesa inalipwa a kodi za mlalahoi wa dola 1 kwa siku
Ndilo eneo unalopewa pesa ya mafuta kwa kwenda kazini kwako
Ndilo eneo unalolipwa kwa kuwa kwenye kamati ya kazi yako mwenyewe.
Ni eneo unaloweza kulala tu kutwa nzima na hakuna anaykuuliza ''deliverables'
Ni eneo ambalo Mbunge, spouse , housegirl na jirani wanaweza kwenda kumsalimia India na kulipwa posho.
Ni eneo unalolipwa kiinua mgongo kikali kuliko kazi nyingine yoyote nchini
Ni eneo ambalo husubiri miaka 65 kupata mafao, siku ya mwisho unapata mamilioni karibu na bilioni.
Kwanini anakwenda Bungeni? Ni ''addiction' ya pesa. Ili aache na abaki salama bila withdraw symptoms, lazima umpe pesa kidogo kidogo kwa miaka 5 . Kidogo kidogo I mean kama milioni 10 kwa mwezi
Mkuchika naye yupo yupo bado!Hadi mauti yawaondoe ndiyo wanakuwa wameshiba lakini njaa yao haina kifani wakiwa hai.Hawa CCM kama ni wadudu ni zaidi ya Nzige,wanashambulia Hazina yetu bila huruma yoyote.Lakini mkuu siyo wamama peke yao, kuna mzee kama Wassira na wengineo. Tamaa na kutokuridhika
Alinikuta sehemu mwaka huu. Aisee ni mzee kabisa. Piko kibao ila ni mzee.Inakera..maana sijui tusemeje jitu linaingia bungeni toka liko 30's had menopause bado linataka tu cheo...!ndo haya yakiachwa na serikali unalikuta haliwezi hata kufungua kampuni..
Hawa wamama Sasa hivi wangekua na kampuni zao zimesimama vizuri Sana wakawa wanaajiri vijana...yamejaa tu hapo kufikiria ulaji...kudos kwa Waziri mmoja aliwahi kuwa wa waziri wa Utalii kipindi Cha Jk sijui yule mama anafanya nn sasa hv alikua anakata panki pale saafi kbs. Jina limenitoka!
Yanakera Sana haya majitu
Haya ni maajabu kwa kweli! Hivi kwa umri ule kuna kipya kipi ambacho hakukifanya anataka kwenda kukifanya uzeeni zaidi ya kuongeza wasinziaji? Hii ni aibu!
Alinikuta sehemu mwaka huu. Aisee ni mzee kabisa. Piko kibao ila ni mzee.
Hivi ukiwa na Mil 500, majumba, magari unayo, mashamba unayo, watoto watu wazima na ulishawapachika maofisi makubwa, una umri 70+, bado unagombea upate nini? Hata ukiamua kutumia mil 2 kwa mwezi kwa kula, kwa mwaka ni mil 24 so mil 500 utaimaliza baada ya miaka 20.
Nimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura..
Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?
Anataka kwenda kufanya nini?
Kwani lazima kuwa mbunge?
Sijaelewa kabisa...