Uchaguzi 2020 Magreth Sitta anaenda bungeni kufanya nini?

Uchaguzi 2020 Magreth Sitta anaenda bungeni kufanya nini?

Nimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura..
Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?
Anataka kwenda kufanya nini?
Kwani lazima kuwa mbunge?

Sijaelewa kabisa...
Atakwambia kuleta maendeleo? Ati magnet sita na heche au mdee mwenye ushawishi sitta
 
Nimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura..
Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?
Anataka kwenda kufanya nini?
Kwani lazima kuwa mbunge?

Sijaelewa kabisa...
Bungeni ni shamba la bibi kizee ukifika huko unaonga dawati kupongeza uhuni wa waziri na bajeti yake baada ya hapo naingiza mamilion ya fedhwa.
 
Nimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura..
Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?
Anataka kwenda kufanya nini?
Kwani lazima kuwa mbunge?

Sijaelewa kabisa...
Maccm kuanzia mgombea wao wa urais yanaamini ni wao tu wanaostahili kuwa viongozi wa nchi ambayo tayari imeshawashinda.
 
Im afraid these mps are heavily indebted.. Yani wana madeni kufaa..
Maana si kawaida. Huyu bibi ni wa kupumzika sasa.. Tour the world.. Enjoy retirement packages..Eat well... Drink... Enjoy.

Unbelievable.

Cc. Charles Kimei.
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Za chini ya kapeti hili mama lilivyo na roho mbaya limedhurumu mpaka mirathi kwa watoto wa Samwel Sitta ambao hajazaa yeye, na nilichawi kweli kweli, mtoto mmoja wa Samwel Sitta mwaka juzi pale Dodoma nusu afe katika mazingira yenye utata mtupu.
 
Vijana wajiajiri,fursa zipo nyingi na mikopo inatolewa kwa kinamama bila ubaguzi wowote.
Nimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura..
Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?
Anataka kwenda kufanya nini?
Kwani lazima kuwa mbunge?

Sijaelewa kabisa...
 
Nimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura..
Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?
Anataka kwenda kufanya nini?
Kwani lazima kuwa mbunge?

Sijaelewa kabisa...
Hata mama salma kikwete anaenda kufanta nn!

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Za chini ya kapeti hili mama lilivyo na roho mbaya limedhurumu mpaka mirathi kwa watoto wa Samwel Sitta ambao hajazaa yeye, na nilichawi kweli kweli, mtoto mmoja wa Samwel Sitta mwaka juzi pale Dodoma nusu afe katika mazingira yenye utata mtupu.
Nakubali kabisaa...💯💯

Si kawaida.
 
Nimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura..
Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?
Anataka kwenda kufanya nini?
Kwani lazima kuwa mbunge?

Sijaelewa kabisa...
Kusifu na kuabudu
 
Mkuu Bungeni ndio eneo unalolipwa kwa kukaa kwenye kiti chako cha kazi.
Ni eneo unalonunua gari lako na nusu ya pesa inalipwa a kodi za mlalahoi wa dola 1 kwa siku
Ndilo eneo unalopewa pesa ya mafuta kwa kwenda kazini kwako
Ndilo eneo unalolipwa kwa kuwa kwenye kamati ya kazi yako mwenyewe.
Ni eneo unaloweza kulala tu kutwa nzima na hakuna anaykuuliza ''deliverables'
Ni eneo ambalo Mbunge, spouse , housegirl na jirani wanaweza kwenda kumsalimia India na kulipwa posho.
Ni eneo unalolipwa kiinua mgongo kikali kuliko kazi nyingine yoyote nchini
Ni eneo ambalo husubiri miaka 65 kupata mafao, siku ya mwisho unapata mamilioni karibu na bilioni.

Kwanini anakwenda Bungeni? Ni ''addiction' ya pesa. Ili aache na abaki salama bila withdraw symptoms, lazima umpe pesa kidogo kidogo kwa miaka 5 . Kidogo kidogo I mean kama milioni 10 kwa mwezi
Anaenda kufaidi matunda ya sheria walizojitengenezea za kula keki ya Taifa,hauhitajiki kutumia akili kuwa Milionea ukiwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,ukiingia unabaki kusaini cheques na mkwanja mnono unasoma Benki.No Stress,you eat your buttered bread without trouble there.
 
Hata
Lakini mkuu siyo wamama peke yao, kuna mzee kama Wassira na wengineo. Tamaa na kutokuridhika
Mkuchika naye yupo yupo bado!Hadi mauti yawaondoe ndiyo wanakuwa wameshiba lakini njaa yao haina kifani wakiwa hai.Hawa CCM kama ni wadudu ni zaidi ya Nzige,wanashambulia Hazina yetu bila huruma yoyote.
 
Ubunge nikama kuvuta bangi, mtu anakuwa na kasumba. We acha huyo, Mzee Mkuchika je? Chenge kama sio kukatwa na kamati ya kushikishwa adabu ingekuwaje? Mrema vipi huko vunjo!! Hata Ndungai niwakupumzishwa tu, hana tena ufahamu. Inabidi wafanye kazi kwa kutumia fikra za wengine ndio maana Jiwe anawapenda maana anafikiri kwaniaba yao.
 
Inakera..maana sijui tusemeje jitu linaingia bungeni toka liko 30's had menopause bado linataka tu cheo...!ndo haya yakiachwa na serikali unalikuta haliwezi hata kufungua kampuni..
Hawa wamama Sasa hivi wangekua na kampuni zao zimesimama vizuri Sana wakawa wanaajiri vijana...yamejaa tu hapo kufikiria ulaji...kudos kwa Waziri mmoja aliwahi kuwa wa waziri wa Utalii kipindi Cha Jk sijui yule mama anafanya nn sasa hv alikua anakata panki pale saafi kbs. Jina limenitoka!
Yanakera Sana haya majitu
Alinikuta sehemu mwaka huu. Aisee ni mzee kabisa. Piko kibao ila ni mzee.

Hivi ukiwa na Mil 500, majumba, magari unayo, mashamba unayo, watoto watu wazima na ulishawapachika maofisi makubwa, una umri 70+, bado unagombea upate nini? Hata ukiamua kutumia mil 2 kwa mwezi kwa kula, kwa mwaka ni mil 24 so mil 500 utaimaliza baada ya miaka 20.
 
Angekua kafanya mazuri ata asinge piga goti..ila .kwakua ana jua hata toboa acha alale ata kwenye vumbi
 
Ndugai amesema kazi yake kuwafunda wabunge. ccm oyeee
Haya ni maajabu kwa kweli! Hivi kwa umri ule kuna kipya kipi ambacho hakukifanya anataka kwenda kukifanya uzeeni zaidi ya kuongeza wasinziaji? Hii ni aibu!
 
Alinikuta sehemu mwaka huu. Aisee ni mzee kabisa. Piko kibao ila ni mzee.

Hivi ukiwa na Mil 500, majumba, magari unayo, mashamba unayo, watoto watu wazima na ulishawapachika maofisi makubwa, una umri 70+, bado unagombea upate nini? Hata ukiamua kutumia mil 2 kwa mwezi kwa kula, kwa mwaka ni mil 24 so mil 500 utaimaliza baada ya miaka 20.

Yanajidharaulisha sana haya mabibi...
Sijui yule benja hajamshauri?
 
Nimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura..
Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?
Anataka kwenda kufanya nini?
Kwani lazima kuwa mbunge?

Sijaelewa kabisa...

..nimepata kumsikia mbunge mmoja mwanamke akilalamika kwamba Mama Sitta amekuwa hawatetei wabunge wanawake ukimlinganisha na Mama Anna Abdalah au Mama Anna Makinda.
 
Maalim na Lipumba wanatafuta nn? 1995, 2000, 2005, 2010, 2015, 2020 and possibly 2025.
 
Back
Top Bottom