Uchaguzi 2020 Magreth Sitta anaenda bungeni kufanya nini?

Huyo mchungaji namkumbuka, anajitambuwa sana

Ubunge aligombea baada ya kuombwa na Dr Slaa ili jimbo la Karatu libaki Chadema
Kabisa mkuu. 2016 nilikutana nae yuko simple na shughuli zake alishakusanya mtaji wake.
 
mtizamo wako ,swala ni kwamba na yeye anatumikia tumbo lake na familia yake,ulizia alipokua mbunge pale KWAO Kafanya nini?miaka 10
Alikua yuko Dar 24-7 na wanae Masaki hata kwenda kuwasalimia wale wanyaturu hana muda mpk siku anaambiwa na NDugai tunapoka ubunge ndo anashtuka
 
Nafikiri kama tunataka seriously kuchuja wagombea dizain hii ni kupunguza posho na zingine kufuta kabisa..
Ikiwezekana mbunge na katibu wizara na DC wasiwe tofauti kimshahara na posho
inakuja hiyo Magu kashasoma Bashite ndio kamkumbusha tu na kesho we Mbunge kaa kwenu na posho upewe ukiwa kwenu, hakuna mil 200 baada ya ubunge hakuna magari mtatumia tayota sio vx then mkimaliza ubunge mrare mbere"
CCM hoyeeeeeeeeeeee,
Hewala Jiwe
 
alafu Slaa akArudi CCM
Njaa na hofu au vitisho vya watu wasiojulikana maana nina uhakika walikuwepo tangia wakati ule kwa mtindo tofauti na ule wa shambulizi la mchana kweupe dhidi ya Mh.Lissu pale Area D.Hivyo wakati mwingine hata Dr Tlaa yalimkuta na ndipo akapewa Scholarship nchini Canada kabla ya Ubalozi.
 
Nimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura.

Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?

Anataka kwenda kufanya nini?

Kwani lazima kuwa mbunge?

Sijaelewa kabisa.

Hawa wanasiasa nje ya kuajiriwa hawawezi ishi watakufa njaa
 
Anaenda kuwaletea maendeleo wananchi wa urambo..
 
watu wameshazoea kuishi kwenye ulingo wa siasa
akiwa ndani ya ulingo huo anakaa anajua nchi inaendeshwa vipi na mipango ikoje miaka 10 ijayo hii hali ni raha ilioje aiseee
sasa mtu aache siasa awe raia wa kawaida tu wa kupokea habari juu juu tu hajui ukweli uko wapi uongo uko wapi hahahaaaa
mtu hataki kutumia senti yake hata kidogo kashazoea karibia kila kitu analipiwa
usishangae mtu kama sitta akistaafu siku akilalamika serikali imemtenga hata gharama za matibabu madogo madogo haimsaidii
 
Wapiga kura wanatakiwa kuwa makini, hiyo ni sawa na cheti cha ndoa unakipata bila kusoma wala kufanya mtihani, ila mtiti wake mbele ya safari watajutia maamuzi
Nimekuelewa sana,hakika jamii forum ni kisiwa cha burudan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…