Magroup ya damu na uzazi

Je ikiwa B negative kwa mwanaume na O positive kwa mwanamke je Hali ikoje kwa Uzazi
 
Kingine cha kuongezea ni kwamba. Magroup ya damu kwenye mwili wa binadam ni mengi sana, yanaweza kuzidi ata miatatu na kitu. lakini magroup muhim kuyajua au kuyazingatia ni kama 12 au 13 ivi.
Haya ni yale ambayo daktar au mtoa huduma akikosea akayachanganya yanaleta shida au madhara kwa mgonjwa. Mfano. kawaida kitaalam tunazingatia magroup mawili ambayo ni ABO(A,B,AB,O) na RH (RHESUS) Ambapo kuna cabohydrate ambazo zinatengeneza protein A(ambalo ndilo group A). kuna cabohydrate ambazo zinatengeneza protein B. (ambalo ndilo group B).na pia kuna cabohydrate ambazo zinatengeneza protein zote mbili AB(ambalo ndilo group AB). lakin kuna protein ambazo hazina protine A wala B hizo ndizo huitwa 0 (ndilo group O) rasmi.
lakini unapokuja kwenye kundi la RHESUS (RH). kuna protein kama E,e,C,c na D. Lakin hapa D ndio huzingatiwa sana kuliko mengine apo. unaweza kuwa na na group O na mwingine akawa na group O. lakin kama kuna mpishano kwenye (RH) bas hizi damu zikichanganywa hutokea tatizo. Na protein hizi huweza kutengeneza kitu kinachoitwa antigen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…