Magroup ya WhatsApp hayana tija

Magroup ya WhatsApp hayana tija

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,636
Reaction score
2,728
Zaidi ya kumaliza charge ya simu, kukudisturb wakati umezamisha mawazo yako katika shuguli fulani na kutumiana mapicha picha yasiyo na maana.

Sijawahi kuona umuhimu wa magroup ya Watsapp,jambo hili limenifanya niyaepuke kama ukoma magroup ya Watsapp sababu sijawahi kuona umuhimu wake katika teknolojia ya mawasiliano.

Labda wenzangu mnauona umuhimu wake mnijuze.
 
Halafu wengine wameweka sheria kwamba member akikaa kimya bila taarifa wanamuondoa, ukilala bila kuomba ruhusa unaweza kuondolewa.
Mbaya zaidi ndani ya dk 5 utakazokuwa bize na kazi zako, ukirudi unakuta chating kama 400 hivi.
 
Poleni mlio na kazi ya kuchat chat kila mara...
 
Aisee ni kero tupu.Nilikuwa na group la watu niliosoma nao secondary mbaya zaidi ni shule za wasichana tupu kuanzia asubuhi mpaka usiku ni umbea tu hata la maana hamna kazi ni kuringishiana walionavyo na kuoneshana mitindo ya nguo.
 
hataq mm naboreka nayo kabisa
sijui kwanini watanzainia wengi hawapendi kujadili mambo ya maana
kwenye magrupu huko wao mambo ya kipuuzi ndo wanayapa kipaumbele mweeee

INAKERA SANA
Halafu wengine wameweka sheria kwamba member akikaa kimya bila taarifa wanamuondoa, ukilala bila kuomba ruhusa unaweza kuondolewa.
Mbaya zaidi ndani ya dk 5 utakazokuwa bize na kazi zako, ukirudi unakuta chating kama 400 hivi.
 
DADDY MM ULINIKATAZA NISIINGIE ULIVYONINUNULIA ILE
GALASY NIKITAKA KUINGIA MAGRUPUN WEWE UNAKUJA UNABLOCK
KUKMBE KUNA MAANA YAKE VILE:smile-big:
Poleni mlio na kazi ya kuchat chat kila mara...
 
Hivi hiyo picha kwenye avatar yako ni wewe au nimekufananisha?
halafu wengine wameweka sheria kwamba member akikaa kimya bila taarifa wanamuondoa, ukilala bila kuomba ruhusa unaweza kuondolewa.
Mbaya zaidi ndani ya dk 5 utakazokuwa bize na kazi zako, ukirudi unakuta chating kama 400 hivi.
 
Inategemea na group mengine matamu aisee hasa yenye catalyst za pwani.. [emoji14]
 
Poa,.bas mi naanzisha group langu la whatsapp af ntawa-exclude wote mliotoa negative comments
 
Mchaka mchaka wa maisha unavyoenda resi watu wanapataje muda wa kupoteza na kukaa kwenye makundi ya kimbea kama hayo.....maana mtu ukidamka alfajiri kwenda kusaka tonge ambako nako ni mpela mpela mwanzo mwisho hata muda wa kula unaiba....
Nilichogundua kuwa haya makundi yamekuwa maarufu kwa kuwa wabongo wengi ni wana asili ya umbea kwani kwenye hayo makundi hakuna cha muhimu zaidi ya umbea tu...sasa mtoto wa kiume unayepambana kufanikisha malengo yako huwezi kupata huo muda wa kupoteza kwani fainali ni uzeeni....
.....Kalaga baho......
 
Aisee ni kero tupu.Nilikuwa na group la watu niliosoma nao secondary mbaya zaidi ni shule za wasichana tupu kuanzia asubuhi mpaka usiku ni umbea tu hata la maana hamna kazi ni kuringishiana walionavyo na kuoneshana mitindo ya nguo.

add me please!! ha ha ha ha..
 
Back
Top Bottom