Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,728
Zaidi ya kumaliza charge ya simu, kukudisturb wakati umezamisha mawazo yako katika shuguli fulani na kutumiana mapicha picha yasiyo na maana.
Sijawahi kuona umuhimu wa magroup ya Watsapp,jambo hili limenifanya niyaepuke kama ukoma magroup ya Watsapp sababu sijawahi kuona umuhimu wake katika teknolojia ya mawasiliano.
Labda wenzangu mnauona umuhimu wake mnijuze.