Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,728
Halafu wengine wameweka sheria kwamba member akikaa kimya bila taarifa wanamuondoa, ukilala bila kuomba ruhusa unaweza kuondolewa.
Mbaya zaidi ndani ya dk 5 utakazokuwa bize na kazi zako, ukirudi unakuta chating kama 400 hivi.
Poleni mlio na kazi ya kuchat chat kila mara...
halafu wengine wameweka sheria kwamba member akikaa kimya bila taarifa wanamuondoa, ukilala bila kuomba ruhusa unaweza kuondolewa.
Mbaya zaidi ndani ya dk 5 utakazokuwa bize na kazi zako, ukirudi unakuta chating kama 400 hivi.
Aisee ni kero tupu.Nilikuwa na group la watu niliosoma nao secondary mbaya zaidi ni shule za wasichana tupu kuanzia asubuhi mpaka usiku ni umbea tu hata la maana hamna kazi ni kuringishiana walionavyo na kuoneshana mitindo ya nguo.
add me please!! ha ha ha ha..
Kumbe ndo maana sasa nimepata jibu. Huu uzi ndo chanzo
add me please!! ha ha ha ha..
was kidding my love..
i never joined any group.
love u