Magroup ya WhatsApp hayana tija

Ikiwa natumia mb za bure kila siku hiyo hasara naipataje?
 
Watsupp noma imeharibu na kuvunja ndoa nyingi. Wanaume/wanawake wamekuwa bussy na michepuko kuchat mpaka usiku wa manane kisa wanasingizia ni group flun nachat nalo kumbe michepuko. God forbid
 

Kama upo kwny magrp ya umbea umbea tu hlf ww sio fani yako utaona hayana mana lkn mm napata faida kubwa sana kutoka kwny magrp yangu ya kilimo na ufugaji na ujenzi
 


Ina maana wewe Mkuu siku zote unakimbizana na maisha tuu na hukumbuki "Kuishi?"

Lazima uwe na time ya ku refresh na vitu vingine zaidi ya kukimbizana na life tuu!


Remember Life is too short
 
Kila kitu kina Faida na hasara zake, tuyatumie haya magrupu vizuri hasa kujadili katiba na kupeana awareness ya political situation ya sasa.

Mkuu wewe unawaza Siasa tu....teh! teh!

Just joking
 
Aisee ni kero tupu.Nilikuwa na group la watu niliosoma nao secondary mbaya zaidi ni shule za wasichana tupu kuanzia asubuhi mpaka usiku ni umbea tu hata la maana hamna kazi ni kuringishiana walionavyo na kuoneshana mitindo ya nguo.


Halafu haya magroup ya watu ambao mlisoma pamoja kila mmoja hujifanya ana good life au amesoma sana na ana maisha mazuri hata kama kapigika!! Muhimu hakuna anayeongea real life yake zote ni fake story tu!!
 
Haya magroup ya WhatsApp tatizo yanakutanisha watu wenye umri mkubwa na mdogo hapo kidogo inakuwa ngumu.
 
Kila kitu kina Faida na hasara zake, tuyatumie haya magrupu vizuri hasa kujadili katiba na kupeana awareness ya political situation ya sasa.

teh teh teh na nisivyopenda siasa ninge-left mapema sana
 
Kama upo kwny magrp ya umbea umbea tu hlf ww sio fani yako utaona hayana mana lkn mm napata faida kubwa sana kutoka kwny magrp yangu ya kilimo na ufugaji na ujenzi
mbalamwezi nifanyie mchakato niingie kwenye group la ujenzi please 0784312146
 
Yapo yenye tija
Ukiona upo kwenye group lisilo na tija si una left faster!!!
 

Yapo machache mazuri. Kuna group la uchumi very commited, na kujiunga kuna kiingilio kwa waanzilishi cha silingi laki moja na elfu tano kwa sasa linaitwa bunge la uchumi.... Ni zaidi ya shule kwenye mambo
ya uwekezaji na currently group linakuwa transformed kuwa taasisi formal, na wana ofisi tayari Makumbusho na limezinduliwa live wiki iliyo pita Mbezi Garden hotel.
 
Maomba walipo kwenye group la kilimo lililo active ani add tafadhali namba yangu 0713 724242
 
We ukiona upo kwenye grp sio sahihi unaruhusiwa kuleft
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…