Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zaidi ya kumaliza charge ya simu, kukudisturb wakati umezamisha mawazo yako katika shuguli fulani na kutumiana mapicha picha yasiyo na maana.
Sijawahi kuona umuhimu wa magroup ya Watsapp,jambo hili limenifanya niyaepuke kama ukoma magroup ya Watsapp sababu sijawahi kuona umuhimu wake katika teknolojia ya mawasiliano.
Labda wenzangu mnauona umuhimu wake mnijuze.
Loss of mental health
Mchaka mchaka wa maisha unavyoenda resi watu wanapataje muda wa kupoteza na kukaa kwenye makundi ya kimbea kama hayo.....maana mtu ukidamka alfajiri kwenda kusaka tonge ambako nako ni mpela mpela mwanzo mwisho hata muda wa kula unaiba....
Nilichogundua kuwa haya makundi yamekuwa maarufu kwa kuwa wabongo wengi ni wana asili ya umbea kwani kwenye hayo makundi hakuna cha muhimu zaidi ya umbea tu...sasa mtoto wa kiume unayepambana kufanikisha malengo yako huwezi kupata huo muda wa kupoteza kwani fainali ni uzeeni....
.....Kalaga baho......
Kila kitu kina Faida na hasara zake, tuyatumie haya magrupu vizuri hasa kujadili katiba na kupeana awareness ya political situation ya sasa.
imenifanya nitengeneze pesa mingi
Aisee ni kero tupu.Nilikuwa na group la watu niliosoma nao secondary mbaya zaidi ni shule za wasichana tupu kuanzia asubuhi mpaka usiku ni umbea tu hata la maana hamna kazi ni kuringishiana walionavyo na kuoneshana mitindo ya nguo.
Kila kitu kina Faida na hasara zake, tuyatumie haya magrupu vizuri hasa kujadili katiba na kupeana awareness ya political situation ya sasa.
mbalamwezi nifanyie mchakato niingie kwenye group la ujenzi please 0784312146Kama upo kwny magrp ya umbea umbea tu hlf ww sio fani yako utaona hayana mana lkn mm napata faida kubwa sana kutoka kwny magrp yangu ya kilimo na ufugaji na ujenzi