Magroup ya WhatsApp hayana tija

Magroup ya WhatsApp hayana tija

Kila kitu kina Faida na hasara zake, tuyatumie haya magrupu vizuri hasa kujadili katiba na kupeana awareness ya political situation ya sasa.
 
Ukwa Nayo Labda Ma Wi2 Kwa Updates Yanatosha Yaswe Busy All The Tym Yana Chosha Mwisho Wasku Yanapelekea Kuchepuka Tupate Zamb Bure..
 
Kama upo kwenye group lisilokufaa hilo ni tatizo lako, si tatizo la magroup ya Whatsapp.

Kuna watu wana magroup ya familia kupeana habari za familia.

Kuna watu wana ma group ya ujenzi wa nyumba.

Kuna watu wana ma group ya kuandaa harusi.

Kuna watu wana ma group ya professional advancement.

Kama wewe hujajua kupata group linalokufaa, au hata kuanzisha, hilo ni tatizo lako, si tatizo la magroup ya Whatsapp.
 
Hasara ya kupoteza time kubishana team za Soccer za Uingereza mpaka kufikia watu kutukanana!! Time ya kufanya vitu vya maana kutumika kuchat vitu vya kipuuzi!!
 
Nimepata marafiki wengi kutoka ndani ya Tz na wengine nje ya Tz mbao baadhi tumefanikiwa kuonana live, maisha yanaendelea. Kiasi kwamba kupata taabu mikoani kwangu ni ndoto.
 
watu wanaotuma pics za hovyo kwenye magroup ndio wamenipa hasara kupoteza mb zangu bure ... na kazi ya kuzifuta kila siku.
 
Back
Top Bottom