Uchaguzi 2020 Magufuli 2020: Jogoo la Shamba linapowika mjini, wa mjini hujaribu kujitutumua!

Huo ni uongo wa mchana kweupe. Labda kinyume chake
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kuwaza hivyo ni ukenge na kudhania kuwa hawezi tokea mtu mwingine kama magufuli..ila kiufupi jamaa ameitendea haki nafasi yake ya utumishi katika nchi hii..lakini haina maana hakuna wengine wenye maono mazuri zaidi yake..kubadili maono tofauti tofauti ndio nchi inaimalika zaidi na kuwa taifa lenye nguvu kiuchumi na kiimani pia maana mrithi wake naye atapenda kutuonyesha kuwa anaweza zaidi ya magufuli kitu ambacho ni faida kwa nchi na ndicho tunachohitaji kwa sasa
 

naona linawika mjini kweli kweli
 
"Kwa muda mrefu Taifa letu limekuwa likiongozwa na kuendeshwa na watu ambao tuliaminishwa kuwa ni “wasomi” na “vijana wa mjini”. Walijua mitkasi, na madili yote ya mjini. Walijua nani wakuzungumza naye na ufanye nini ili upate nini. Walikuwa ni watu wa “madili madili” kwa vile wao ni wa mjini" - Mzee Mwanakijiji wa Kijijini

Hakika hawa vijana wa mjini walijua mitikasi hadi ya kujipatia nyumba za Serikali kwa bei ya kutupwa kabla ya Jogoo kuwika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…