Uchaguzi 2020 Magufuli 2020: Jogoo la Shamba linapowika mjini, wa mjini hujaribu kujitutumua!

Uchaguzi 2020 Magufuli 2020: Jogoo la Shamba linapowika mjini, wa mjini hujaribu kujitutumua!

Ukiona jogoo Wa shamba anawika Mjini ujuwe hiyo Siku ni ijumaa kuu haturusiwi kula nyama baada ya Siku tatu utaona kuna kibanda kimefunguliwa na kuna kibao kimeandikwa chips kuku inapatikana hapa
 
Kwani kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa tulikuwa tunamchagua Rais wa Tanzania?
Serikali za mita tu katumia Watendaji, Tiss, polis, wakuu wa mikoa na wilaya.naona uvhagzi mkuu atakodi mabomu ya Nyukilia.kabisa.

hakuna mtu mwoga kama magu.
 
Hakuna Uchaguzi Mkuu mwepesi kama ule wa 2020!

Hofu yangu ni kujikuta bungeni kuna wabunge wa upinzani wasiozidi 10 baada ya Uchaguzi Mkuu 2020!
Mn
Endeleeni kujitekenya na kucheka. Uchaguzi wa serikali za mitaa tu unawafanyia rafu wapinzani wako kwa kuwaondoa u ubaki peke yako na bado unajidai kuwa unakubalika. Huu ni upuuzi usio na mfano. Uchaguzi wa Kinondoni hapo mpaka mwanafunzi kauawa kwa sababu ya hizo dhuluma. . Endeleeni kumpamba huyu mungu mtu wenu. Ila sisi wengine tunaelewa. Hizo y
Tabia za ki-kagame sio za WaTanzania. .
 
Hujashirikisha kufikiri ni full mapambio huna lolote endelea kula kwa mrija km Pinda.Mazur yake hayawez kuhalalisha uovu wake.Angeachana na maovu angeweza kuwa best president tatizo amezungwa na wat self opportunists ambao kaz yao kubwa ni kumsifia na sio kumjenga.
 
Aisee, watu weusi tuna matatizo sana.

Labda nchi hii itakuja kupiga hatua siku watu wote 100% wakihamia CCM.

Maana kwa sasa watawala na wafuasi wao hawafikirii kabisa maendeleo ya nchi.

Fikra, Nguvu na Uwezo wao wote wameuelekeza kwenye Kukomoa Na kudhibiti WAPINZANI, WANAOWAKOSOA na Kila Anayewapinga.

Na Kibaya Zaidi Wafuasi Wa Watawala Wako Tayari Kuvumilia Mpaka Maamuzi Mabovu Yanayofanywa Na Mtawala Eti Kwa Kuwa Tu Ni Mtu Wao Na Anawakomesha Wapinzani.

Tena Ikitokea Jambo Ikaonekana Wakosoaji Wa Watawala Wanalipigia Kelele, Basi Hilo Hilo Wafuasi Wa Watawala Watahakikisha Linafanikiwa Hata Kama Na Wao Linawaumiza.

No Wonder Kuna Kisa Cha Malaika Kumwambia Mtu Mweusi, Aombe chochote Ila Atakachopewa, Jirani Yake Atapewa Mara 2.

Kusikia Hivyo Akaomba Kutolewa Jicho Moja Ili Jirani Yake Atolewe Yote 2.

Kuingia Mbinguni Shughuli Pevu.
 
Usijitoe ufahamu mwana Lumumba, unadhani Wale Watendaji wa Kata na Vijij waliitwa kufanyaje Ikulu? Na kuna muda, wakatolewa Waandishi wa Habari!
Ala kumbe??

Ni bora wewe umetufichulia yale ambayo tulikuwa hatuyajui!
 
2020 huyu rais wetu atapita bila kupingwa atakaye gombea kumpinga hayupo

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Atajipitisha bila kupingwa kwa kukata majina ya wapinzani wake kupitia tume uchwara ya uchaguzi kama alivyofanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Huyo ameshakula nyama ya mtu hataacha kula.
 
Jogoo ameshawika kokolilo Koko...na Christian Bella
Praise team na viwanda feki vya kutekana na kutesana magerezani kwa kesi uchwara za utakatishaji fedha na uraia. Endeleni kusifu na kutukuza. Hilo jogoo bila shaka limewika kwa mkeo.
 
Thread imejaa ukweli mtupu. Hii nchi kuna watu wanadhani (kama kina Zitto) kuwa rais ni lazima uwe na ma-complication ya kusafiri na kuhudhuria mikutano mikubwa mikubwa. Haya yanatusaidiaje kama nchi? Hatuwataki watu wa aina hii na wafie mbali!
Juzi nilihesabu msafara kutoka Mwanza airport zaidi ya magari 200, wakitoka kupokea ndege. Nikasema kazi ipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna ninachokitetea kwa sababu siwezi kutetea suala ambalo halipo!

Kikao cha mpango kazi serikalini hakiwezi kuwa kama mkutano wa hadhara ndio maana kuna sheria na kanuni za utumishi wa umma ikiwa ni pamoja na kutunza siri za serikali!
Kwa sisi tuliosoma uongozi katika level za juu, rais hawezi kukaa kikao na watendaji wa kata, administratively inagoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TE="Crimea, post: 33802114, member: 216860"]
Na upuuzi huo umejaa pale chadema! Kuamini ni Mbowe tu ndio anaweza kuongoza wakati kuna wanachadema mamilioni

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
Kwa hiyo CCM yote na wanachama wenu mmeona hamna mwingine wa kuongoza nchi baada ya 2025??
Bora hata chadema watu wamejitokeza kuonyesha nia na kugombea, huko kwenu mtu akitangaza nia tu ni kosa.
 
ccm hawawezi kushinda uchaguzi ukiwa huru na haki...narudia kamwe hawawezi kushinda
Mwanakijiji na ccm wenzako mnalijua hilo
 
Back
Top Bottom