Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Andiko bora kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli maajabu hayataisha huko Tanzania.Hakuna Uchaguzi Mkuu mwepesi kama ule wa 2020!
Hofu yangu ni kujikuta bungeni kuna wabunge wa upinzani wasiozidi 10 baada ya Uchaguzi Mkuu 2020!
Hakuna Uchaguzi Mkuu mwepesi kama ule wa 2020!
Hofu yangu ni kujikuta bungeni kuna wabunge wa upinzani wasiozidi 10 baada ya Uchaguzi Mkuu 2020!
Kwani kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa tulikuwa tunamchagua Rais wa Tanzania?
Demokrasia haitolewi kama zawadi na haiombwi. Kama unaamini hakuna demokrasia unatakiwa uidai kwa mbinde au kwa upinde. Jifunze sehemu nyingine duniani wamefanyaje. Mbona wakati wa JK watu walikuwa wanaidai demokrasia walipoona inaminywa..?Nini kimebadilika sasa?
Naunga mkono hoja , hakuna binadamu asiye na kasoro. Lakini ukweli ni kuwa kasoro za magufuli ni chache, na utekelezaji wake ni wa hali ya juu kabisa.
Hii miradi anayoitekeleza ikikamilika, basi tutaona dunia itakavyo mnyenyekea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamekuelewa mkuu. [emoji344][emoji344][emoji344][emoji601][emoji601][emoji601]Demokrasia haitolewi kama zawadi na haiombwi. Kama unaamini hakuna demokrasia unatakiwa uidai kwa mbinde au kwa upinde. Jifunze sehemu nyingine duniani wamefanyaje. Mbona wakati wa JK watu walikuwa wanaidai demokrasia walipoona inaminywa..?Nini kimebadilika sasa?
Ulivyo bold haya maneno nilitegemea kuorodhesha katiba ilivyovunjwa moja baada ya jingine wengine tuko huku nanjilinji hatujuiKitu pekee na kikubwa mnachoudhi na kukera watu ni kujidai kujisahaulisha kabisa kuhusu UVUNJWAJI MKUBWA WA KATIBA, SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU.
Hivi kama mlihitaji ndege, reli, flyovers n.k sasa MKOLONI mlimfukuza wa nini???? Mimi nadhani wote wanaomsapoti Magufuli ni "wapumbavu wa shamba". Hivi Rais anawezaje kuvunja katiba aliyoapa kuilinda kisa tu anajenga reli na nyinyi ndio mkamuhesabu eti KAWIKA MJINI?? Je hawezi kuleta hayo anayoyaita maendeleo huku akiheshimu UTU na KATIBA YA JMT????
Watu kama nyinyi inaelekea mlikasirishwa sana na kitendo cha NYERERE kudai uhuru.
Ili mumteke sio, kweli jogoo la shamba haliwiki mjini.Toka kwenye hiyo fake ID then uendelee kutema pumba uone anawika wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo akiruhusu demokrasia anaweza kosa hata kura ya mkewe na watotoMwambieni asijaribu kuruhusu demokrasia ichukue mkondo wake, UJOGOO wake utakwenda na maji mara moja.
Kabisa Mkuu. Akijaribu kuruhusu demokrasia tu, ajiandae KUSHANGAZWA kwenye sanduku la kura.Kwa hiyo akiruhusu demokrasia anaweza kosa hata kura ya mkewe na watoto
Uchaguzi unakuwa mwepesi, kwa kuwa vyombo vyote vya dola viko upande wenuHakuna Uchaguzi Mkuu mwepesi kama ule wa 2020!
Hofu yangu ni kujikuta bungeni kuna wabunge wa upinzani wasiozidi 10 baada ya Uchaguzi Mkuu 2020!
Huyu mzee ana stress za maisha , ndo shida ya kutokujiandalia future ujanani, siku hizi hana tofauti na bashiteKabisa Mkuu. Akijaribu kuruhusu demokrasia tu, ajiandae KUSHANGAZWA kwenye sanduku la kura.
You nailed it!Demokrasia haitolewi kama zawadi na haiombwi. Kama unaamini hakuna demokrasia unatakiwa uidai kwa mbinde au kwa upinde. Jifunze sehemu nyingine duniani wamefanyaje. Mbona wakati wa JK watu walikuwa wanaidai demokrasia walipoona inaminywa..?Nini kimebadilika sasa?
Jogoo wa shamba Kahamia Dodoma , mjini hakuweziHuyo anawikia vijijini kwa wanyonge wenzake. Kakimbia Dar- slaam. Mbwembwe nyingi ni huko vijijini huku mjini akija kimya kimya.
Mitandao siyo nchi yoteKigogo 2014 alipoleta uzushi nchi yote ilizizima kwa furaha, hao waliofurahi, hayo mambo makubwa hawakuyaona??