Yote sawa, unadhani huyu ana haiba ya kwenda kusimama mbele za watu kuzungumza.
Ngoja nikupe history:
1. Nyerere alikuwa msomi wa kweli.. alijua kiingereza.. alisafiri maana alijiamini kwa kuzungumza na hakukishabikia kiswahili ki hivyo.
2. Mkapa msomi, alijua kiingerez vema. Alisafiri . hakushabikia kiswahili hivyo...
3. Mwinyi hakuwa msomi, hakujua kiingereza, hakusafiri.. alishabikia kiswahili lugha anayoiweza.
4. JK alikuwa msomi, alijua kiingereza, alisafiri. Hakushabikia kiswahili
5. Jiwe "msomi" hajui kiingereza, hasafiri.. anakishabkia kiswahili anachokijua!