Magufuli aagiza madaktari waliokimbilia hospitali binafsi kusakwa

Magufuli aagiza madaktari waliokimbilia hospitali binafsi kusakwa

case za tz hamziwezi,nyinyi endeleeni kupiga campaign miaka miwili kabla ya uchaguzi.

tena wewe kanoe panga vyema.

Ufungie hospitali kisa imemuajiri daktari aliyetokea kwenye hospitali ya serikali. Hehehehe kweli mumepuyanga
 
MaPadlocks is a perfect definition of an EDUCATED FOOL😂😂😭
 
MaPadlocks is a perfect definition of an EDUCATED FOOL[emoji23][emoji23][emoji24]
That's is not the proper language we use while addressing head of a state. You could have said that Dr.... didn't address his mind on labour laws while making such utterances.
 
Ila wakwenu wanaotishia kugoma kila siku kwa maslahi duni na kukosa vitendea kazi hamuwasemi mmekaa kusikiliza kwa jirani kuna nini
 
hatupo level moja bro. daktari wa Kenya analipwa mara tano zaidi kumliko mwenzake wa Tanzania na bado kila siku wanagoma wakitaka nyongeza na marupurupu.
daktari wa Tanzania anaweza kuwa shamba-boy wa daktari wa Kenya, ukweli ama si kweli?
Mara Tano zaidi?
 
Sioni kitu kibaya wao kwenda kwenye sekta binafsi watapata pesa zaidi, hivyo kuilipa serikali kwa muda mfupi ili wawasomesha wengine watoto wa maskini.

Hakuna haja ya kuzifungia hospitali, kuwakamata.

Kuna haja ya kuweka sheria, ili walipe viwango tofauti, fidia, sio mbaya, isiwe kuwakomoa, bali fidia inayolipika, fair, ukichukulia gharama zilizotumika.
 
Back
Top Bottom