case za tz hamziwezi,nyinyi endeleeni kupiga campaign miaka miwili kabla ya uchaguzi.
tena wewe kanoe panga vyema.
That's is not the proper language we use while addressing head of a state. You could have said that Dr.... didn't address his mind on labour laws while making such utterances.MaPadlocks is a perfect definition of an EDUCATED FOOL[emoji23][emoji23][emoji24]
Mara Tano zaidi?hatupo level moja bro. daktari wa Kenya analipwa mara tano zaidi kumliko mwenzake wa Tanzania na bado kila siku wanagoma wakitaka nyongeza na marupurupu.
daktari wa Tanzania anaweza kuwa shamba-boy wa daktari wa Kenya, ukweli ama si kweli?
bhanaMara Tano zaidi?
Kwa jirani kuna vituko aisee.Ila wakwenu wanaotishia kugoma kila siku kwa maslahi duni na kukosa vitendea kazi hamuwasemi mmekaa kusikiliza kwa jirani kuna nini