Magufuli aagiza wataalam wa ICT kutokea Rwanda

Magufuli aagiza wataalam wa ICT kutokea Rwanda

Wacha maneno mengi Mswahili piga kazi, nilikua simuelewi Magufuli kwanini kawaziba midomo lakini nikikumbuka mlivyo watu wa vijisababu, maneno mengi na matendo zero, nimeanza kumuelewa rais wenu. Yeye kasema siasa hadi miaka mitano iishe, tena kazima bunge live hadi wabunge wanazibana midomo ndani ya bunge.

Myanyooka tu, nina uhakika ndani ya miaka michache mtakua mumeanza kubadilika na kujua umuhuimu wa kujituma.
PAul Makonda anakutafuta ujue
 
Shirika la mapato Tanzania (TRA) linapoteza hela nyingi sana kwa ajili ya mapungufu ya mfumo wanaoutumia leo. Sasa rais wao ameona ili kurekebisha hilo, itabidi awaagize wataalam wa ICT kutokea Rwanda waje na maujuzi yao.

Ndugu zetu Wabongo huwa wanalipuka sana wakiona makampuni yao yanaagiza wafanyi kazi kutokea nchi jirani kama Kenya. Wenyewe wanakua hawajui sababu za Mtanzania mmiliki wa kampuni anakubali kuingia gharama ya kulipia Mkenya/Mnyarwanda/Mganda kibali cha kazi, gharama za nauli ya ndege, gharama za hoteli na pia ada ya kazi licha ya kuwepo Wabongo ambao wanajishebedua kuwa na uwezo wa kufanya hizo kazi.

Ni swali la msingi la kujiuliza na mjirekebishe, muache chuki zenu dhidi ya Waafrika wanaoalikwa kuja kufanya kazi zenu. Wenye makampuni wanaagiza kutoka nje kwa sababu za msingi tu. Leo hii hata rais wenu kaagiza kutoka kwa nchi jirani. Najua mtaibuka na kuanza kulialia, lakini nashauri mkae na kujiuliza wenyewe.

Taarifa kamili hii hapa
New tax collection system to curb theft

Barbarosa

sioni tatizo kuchukua utaalamu kutoka nchi jirani, hata wao tuliwapelekea wataalamu wa upasuaji wa moyo wa kibongo. ninachojua hao wataalamu wakija lazima washilikiane na wataalamu wa bongo. sisi wabongo lazima tuwashikilie wa rwanda, hatuwezi kuwaachia koz wale ni soko letu. lazima tuwavute. siulisikia mikakati ya kujenga reli?
 
PAul Makonda anakutafuta ujue

Hehehe! Huyo niliskia kaibuka na kauli za kwamba uki-like page ya mashoga unalo, anakutia ndani, hata ukifollow bado atakukamata. Ukimualika shoga kwenye harusi yako, Makonda atakuibukia, sasa sijui utajuaje yupi shoga maana hawana alama.
Unashtukia polisi mlangoni kwamba kwenye sherehe yako ya harusi kuna shoga, hivyo nyote moja kwa moja hadi jela.
 
Wacha maneno mengi Mswahili piga kazi, nilikua simuelewi Magufuli kwanini kawaziba midomo lakini nikikumbuka mlivyo watu wa vijisababu, maneno mengi na matendo zero, nimeanza kumuelewa rais wenu. Yeye kasema siasa hadi miaka mitano iishe, tena kazima bunge live hadi wabunge wanazibana midomo ndani ya bunge.

Myanyooka tu, nina uhakika ndani ya miaka michache mtakua mumeanza kubadilika na kujua umuhuimu wa kujituma.

una matatizo wewe ....pengine hapo ulipo huna kitu cha kujivunia .......
 
Back
Top Bottom