Magufuli achana na Raila,sifa zake "chafu" Msaidizi wake wa karibu kazianika hadharani kupitia kitabu

Kwenye eneo hilo la vidosho hakuna malaika. Labda mleta mada kama ni me
 
Raila alikuwa anapendekeza ndugu zake,sasa unabishana na MIGUNA? Mshauri mkuu?
 
Raila alikuwa anapendekeza ndugu zake,sasa unabishana na MIGUNA? Mshauri mkuu?
Miguna mchochezi...! Umeonyeshwa ushahidi, rais ndiye aliyekuwa anapropose...waziri mkuu nashauri tu! Au hiyo pdf imekutoa baru!
 
Mkuu karibia sifa zote za Odinga ninazo.
Lkn ukishakua kiongozi unapaswa kubalance mambo, unapaswa kuepuka kashfa za ngono.

Vinginevyo kuwa tayari kuanikwa hv

Sent From Ikulu-Magogoni street
 
Kitabu kimekuja baada ya kufukuzwa , kwanini hakuandika kipindi wakiwa wanaelewana??
 
Kitabu kimekuja baada ya kufukuzwa , kwanini hakuandika kipindi wakiwa wanaelewana??
Changia mada,acha kuzunguka vichakani wakati barabara iko nyeupe
 
Kati ya uhuru na raila kweli mnajua nani amevalia ngozi ya kondoo.hah!
 
Mkuu karibia sifa zote za Odinga ninazo.
Lkn ukishakua kiongozi unapaswa kubalance mambo, unapaswa kuepuka kashfa za ngono.

Vinginevyo kuwa tayari kuanikwa hv

Sent From Ikulu-Magogoni street
Ww unadhani kuwa kiongozi n8 mpk uwe km akina Odinga.

Ina maana hata wewe hapo ulipo si kiongozi ktk eneo lako hata kwako kifamilia,kikazi,kimtaa au kiushairi.
Km hauna uongozi wowote kweli wewe ni wakujiuliza km unajitambua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili zingine za njiwa kweli, kuaminishwa Utajiri wa Raila kaupata akiwa waziri Mkuu!!!
 
Hii familia ya akina Oginga Odinga wanazo mali nyingi sana nakumbuka miaka ile ya 1980,baada ya kifo cha Mzee Oginga Odinga,familia ile ilikuwa na mpango wa kujenga chuo kikuu kwa pesa zao ambapo wasingekopa hata senti 5. Chuo hicho ni Jaramogi Oginga Odinga University of Science and Technology (JOOUST). Chuo hicho akijakopewa pesa hata sent 5 bank.
Ss kusema amechuma km vile hakuwa pesa ni uongo mtupu.

Hii,familia ya akina Oginga Oginda walikuwa wanamiliki mpka ndege na Mzee wao Oginga alikuwa anauza mpk mazao ulaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…