Uchaguzi 2020 "Magufuli Afeli Kabla ya Kuanza:Hajui atakalo:"watanganyika walalama

Unamzungumizia anayesubiri kuapishwa tayari Kwa mhula mwingine wa miaka mitano siyo?
 
CCM Tumshauri Mgombea Wetu Kupunguza Mzaha ktk Hotuba Zake.
----------------------------------------

CCM tumashauri Mwenyekiti na Mgombea wetu kupunguza mzaha na utani ktk hotuba zake hasa kipindi hiki cha uchaguzi. Tumwambie Mgombea wetu kuwa Dunia inafuatilia uchaguzi wetu from the scratch hivyo ni lazima awe makini ktk maneno yake kuanzia sasa hadi mwisho.

Tumshauri Mgombea wetu kwamba katika kipindi hiki cha uchaguzi urais wake unapungua nguvu kwa ajili ya usawa wa kampeni na vyama vingine. Tumwambie aachane na utaratibu wa kutembea na mawaziri kutatua shida za Watanzania ktk sare za kijani hasa katika muktadha unaohusu uchaguzi. Kufanya hivyo ni kutoa rushwa hadharani. Matendo haya yatatusumbua baadae kidogo nchi yetu ipo ktk mtego mkubwa.

Tumshauri kuwa, maneno haya ya ahadi, pesa na utatuzi wa matatizo katika muktadha wa uchaguzi yanaweza kutumika kuharibu ushindi wa Chama mbele ya safari au kutusumbua endapo uchaguzi utamalizika vibaya. Tuchukue tahadhari!!

Tumshauri Mgombea wetu kufanya utani na Ndugai ktk vikao vya Chama huku hadharani ni kero. Tumwambie yeye ni Mwenyekiti wa Chama ni kosa kuonesha upendeleo kwa Mgombea mmoja huku akitambua nafasi ya uspika itagombewa na wanachama wengine wengi. Kauli yake inawazuia wengine kutumia haki yao ya msingi lkn ni kauli mbaya, chafu na ya upendeleo isiyostahili kutolewa na Mwenyekiti wa Chama Taifa kwa kuwa yeye ndie mteuzi wa majina ya wagombea wa nafasi ya uspika wa Bunge kupitia CCM.

Tumwambie kauli yake juu ya Ndugai imetuudhi wengi, wale tusiopenda kuona Bunge lijalo linakua la kijinga kama lililopita, kibaya zaidi amewaudhi na kuwakatisha tamaa wanachama wote waliogombea na Ndugai ktk ubunge wanaosubiri uteuzi. Kwa kauli yake ndio kusema amekwisha mteua Ndugai kugombea Ubunge ili awanie Uspika. Mwambieni yeye ni Rais, Mwenyekiti wa CCM na Mgombea wa CCM anahitaji hadhari kubwa ku-maintain nafasi zote kwa usawa katika wakati huu kushinda wakati mwingine wowote.

Mwisho, tumshauri mgombea wetu kuzifanya hotuba zake za maana kwa kupunguza mambo yasiyo na lazima. Mambo ya mapenzi kila siku ktk hotuba za Amir Jeshi Mkuu wa nchi inakera, inaonesha udhaifu wa wazi. Baadhi yetu tumeacha kuzifuatilia hotuba zake kwa sababu ya mapenzi ya hadharani kila siku. Nashauri kwa sasa tuangazie matarajio yetu kwa Watanzania kuliko hizi hekaya.

Mkumbusheni kuwa uchaguzi huu ni mgumu zaidi kwetu sio kwa maana ya ushindi ila kwa maana ya usalama wa nchi yetu, umoja na mshikamano wetu hivyo tunahitaji tahadhari kubwa zaidi ktk kauli na matendo yetu wakati wote. Mimi ninachukizwa na mizaha kwa mtu mkubwa wa hadhi ya Urais.#JPM5TNEA!!
Asanteni,
MenukaJr.
FikraHuru!!
Muda wa kampeni bado dogo, hata ufunguzi bado, rejea ratiba ya tume!
Hata mitambo haijawashwa!
Kampeni zikianza , basi utatoa ushauri ukiona ndivyo sivyo
 
Usimchokonoe Bwege...
 
Magu hana cha kuhofia mpaka afuate ushauri wa mtu asiyejua hata ratiba ya tume!

Pia, usipate tabu sana juu ya Magu, bila kupepesa macho, huyo ndiye rais wa Tanzania mpaka 2025! Wengine wanatimiza matakwa ya katiba kushiriki!

Hata usipoelewa Leo jambo hili lakini ipo siku utakumbuka!
 
huyo jamaa hana maadili hata kidogo, na wala sio mtu wa matani, hata matatizo na mke wake yanasababishwa na tabia zake za uzinzi. anapozungumzia mapenzi hatanii anamaanisha.
 
CCM Tumshauri Mgombea Wetu Kupunguza Mzaha ktk Hotuba Zake.
----------------------------------------

CCM tumashauri Mwenyekiti na Mgombea wetu kupunguza mzaha na utani ktk hotuba zake hasa kipindi hiki cha uchaguzi. Tumwambie Mgombea wetu kuwa Dunia inafuatilia uchaguzi wetu from the scratch hivyo ni lazima awe makini ktk maneno yake kuanzia sasa hadi mwisho.

Tumshauri Mgombea wetu kwamba katika kipindi hiki cha uchaguzi urais wake unapungua nguvu kwa ajili ya usawa wa kampeni na vyama vingine. Tumwambie aachane na utaratibu wa kutembea na mawaziri kutatua shida za Watanzania ktk sare za kijani hasa katika muktadha unaohusu uchaguzi. Kufanya hivyo ni kutoa rushwa hadharani. Matendo haya yatatusumbua baadae kidogo nchi yetu ipo ktk mtego mkubwa.

Tumshauri kuwa, maneno haya ya ahadi, pesa na utatuzi wa matatizo katika muktadha wa uchaguzi yanaweza kutumika kuharibu ushindi wa Chama mbele ya safari au kutusumbua endapo uchaguzi utamalizika vibaya. Tuchukue tahadhari!!

Tumshauri Mgombea wetu kufanya utani na Ndugai ktk vikao vya Chama huku hadharani ni kero. Tumwambie yeye ni Mwenyekiti wa Chama ni kosa kuonesha upendeleo kwa Mgombea mmoja huku akitambua nafasi ya uspika itagombewa na wanachama wengine wengi. Kauli yake inawazuia wengine kutumia haki yao ya msingi lkn ni kauli mbaya, chafu na ya upendeleo isiyostahili kutolewa na Mwenyekiti wa Chama Taifa kwa kuwa yeye ndie mteuzi wa majina ya wagombea wa nafasi ya uspika wa Bunge kupitia CCM.

Tumwambie kauli yake juu ya Ndugai imetuudhi wengi, wale tusiopenda kuona Bunge lijalo linakua la kijinga kama lililopita, kibaya zaidi amewaudhi na kuwakatisha tamaa wanachama wote waliogombea na Ndugai ktk ubunge wanaosubiri uteuzi. Kwa kauli yake ndio kusema amekwisha mteua Ndugai kugombea Ubunge ili awanie Uspika. Mwambieni yeye ni Rais, Mwenyekiti wa CCM na Mgombea wa CCM anahitaji hadhari kubwa ku-maintain nafasi zote kwa usawa katika wakati huu kushinda wakati mwingine wowote.

Mwisho, tumshauri mgombea wetu kuzifanya hotuba zake za maana kwa kupunguza mambo yasiyo na lazima. Mambo ya mapenzi kila siku ktk hotuba za Amir Jeshi Mkuu wa nchi inakera, inaonesha udhaifu wa wazi. Baadhi yetu tumeacha kuzifuatilia hotuba zake kwa sababu ya mapenzi ya hadharani kila siku. Nashauri kwa sasa tuangazie matarajio yetu kwa Watanzania kuliko hizi hekaya.

Mkumbusheni kuwa uchaguzi huu ni mgumu zaidi kwetu sio kwa maana ya ushindi ila kwa maana ya usalama wa nchi yetu, umoja na mshikamano wetu hivyo tunahitaji tahadhari kubwa zaidi ktk kauli na matendo yetu wakati wote. Mimi ninachukizwa na mizaha kwa mtu mkubwa wa hadhi ya Urais.#JPM5TNEA!!
Asanteni,
MenukaJr.
FikraHuru!!

Wewe sio Mwana CCM, wewe ni "kamanda".--- mwana CCM halisi hana ubavu wa kumkosoa Mwenyekiti wake hadharani namna hiyo kutokana na mapenzi ya uongo yaliyojengwa juu ya misingi ya hofu na uoga.
 
Back
Top Bottom