Uchaguzi 2020 "Magufuli Afeli Kabla ya Kuanza:Hajui atakalo:"watanganyika walalama

Unamzungumizia anayesubiri kuapishwa tayari Kwa mhula mwingine wa miaka mitano siyo?
 
Muda wa kampeni bado dogo, hata ufunguzi bado, rejea ratiba ya tume!
Hata mitambo haijawashwa!
Kampeni zikianza , basi utatoa ushauri ukiona ndivyo sivyo
 
Usimchokonoe Bwege...
 
Magu hana cha kuhofia mpaka afuate ushauri wa mtu asiyejua hata ratiba ya tume!

Pia, usipate tabu sana juu ya Magu, bila kupepesa macho, huyo ndiye rais wa Tanzania mpaka 2025! Wengine wanatimiza matakwa ya katiba kushiriki!

Hata usipoelewa Leo jambo hili lakini ipo siku utakumbuka!
 
huyo jamaa hana maadili hata kidogo, na wala sio mtu wa matani, hata matatizo na mke wake yanasababishwa na tabia zake za uzinzi. anapozungumzia mapenzi hatanii anamaanisha.
 


Wewe sio Mwana CCM, wewe ni "kamanda".--- mwana CCM halisi hana ubavu wa kumkosoa Mwenyekiti wake hadharani namna hiyo kutokana na mapenzi ya uongo yaliyojengwa juu ya misingi ya hofu na uoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…