joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #21
Ndio amewanyang'anya kama alivyowanyang'anya bomba la Uganda. Sasa hivi anaelekeza nguvu zake kuwanyang'anya SGR ya Uganda.Dah! Alafu yeye sasa ndio mnamuita akili kubwa? Kenya hatukuwaza kuhusu mtu yeyote yule tulipochangamkia fursa na tukafanikiwa. Tafakari hayo.
Punguza dose jombaa, walimu wa Kenya watatua RSA upende usipende, hiyo ni fact ambayo haitabadilika hata ukijitia hamnazo au ufunge na kuomba. Tena kazi yao wataifanya bila ya kumtazama yeyote yule kama tu serikali yao ilivofanya ilipofanikisha fursa hiyo kwao. Its the Kenyan way, but do we say.Ndio amewanyang'anya kama alivyowanyang'anya bomba la Uganda. Sasa hivi anaelekeza nguvu zake kuwanyang'anya SGR ya Uganda.
Hahahahaha, ninachowashauri ni kufanya kazi na Magufuli kama mshirika wenu, lakini mkiendelea kumfanya kuwa ni competitor wenu, atawatesa sanaPunguza dose jombaa, walimu wa Kenya watatua RSA upende usipende, hiyo ni fact ambayo haitabadilika hata ukijitia hamnazo au ufunge na kuomba. Tena kazi yao wataifanya bila ya kumtazama yeyote yule kama tu serikali yao ilivofanya ilipofanikisha fursa hiyo kwao. Its the Kenyan way, but do we say.
Punguza dose jombaa, walimu wa Kenya watatua RSA upende usipende, hiyo ni fact ambayo haitabadilika hata ukijitia hamnazo au ufunge na kuomba. Tena kazi yao wataifanya bila ya kumtazama yeyote yule kama tu serikali yao ilivofanya ilipofanikisha fursa hiyo kwao. Its the Kenyan way, but do we say.
Meanwhile sisi tunawaza mengine mengi ya maana zaidi. Kama ilivyo kawaida yenu tufateni kama mkia.Bado Uganda SGR, Mark my Words mkuu
Punguza dose jombaa, walimu wa Kenya watatua RSA upende usipende, hiyo ni fact ambayo haitabadilika hata ukijitia hamnazo au ufunge na kuomba. Tena kazi yao wataifanya bila ya kumtazama yeyote yule kama tu serikali yao ilivofanya ilipofanikisha fursa hiyo kwao. Its the Kenyan way, but do we say.
Meanwhile sisi tunawaza mengine mengi ya maana zaidi. Kama ilivyo kawaida yenu tufateni kama mkia.
Meanwhile sisi tunawaza mengine mengi ya maana zaidi. Kama ilivyo kawaida yenu tufateni kama mkia.
Sasa hiyo ndiyo vizuri, nilifundishwa kifaransa na mwalimu ambae hajui kiswahili na English anaongea broken yani akija mnakua makini na muda mwingi anatumia kifaransa, faster class watu tukawa kama tuko Paris.Waalimu wa kenya watakua kwenye nafasi nzuri zaidi kwa vile na kizungu kinapanda itasaidia kuwaelimisha wa south kuliko wabongo
SGR Uganda washamtosa Kenya kule ni mwendo wa MGR!Bado Uganda SGR, Mark my Words mkuu
hahahaha he went purposely for kiswahil
Ninawashauri wakenya waungane na kufanya kazi na Magufuli badala ya kushindana naye.
hahaha yaani mnaogopa wakenya ivo.,,jiwe alikimbia mbio SA on hearing kenya itafunza SA.,,Nilishangaa kuona Magufuli anaenda kuhudhuria sherehe wakati sio kawaida yake, tena alitumia Airbus ya Air Tanzania, kumbe alikua yuko katika "mission " maalumu ya kuyachinja tena Nyang'au, ama kweli Magufuli ni kiboko ya wakenya. Kumbe Airbus yote ili alijaza vitabu vya kiswahili kuwapelekea wazulu na Xosa wajifunze lugha yetu hadhimu ya kiswahili. Magufuli hoyeeeeeeeeee.
What Magufuli does is to deflate your hyper inflated ego, as soon as you are deflated completely, he will behave normal.hahahaha he went purposely for kiswahil
hahaha yaani mnaogopa wakenya ivo.,,jiwe alikimbia mbio SA on hearing kenya itafunza SA.,,
Unamaanisha hicho kizungu cha kinyang'au? Ha ha ha, wasauzi hawana shida hiyo....kwa vile na kizungu kinapanda itasaidia kuwaelimisha wa south kuliko wabongo
competitor aje.,,,that opportunity have been there in SA lakini on hearing Kenya will get there first you went mad.,,Hahahahaha, ninachowashauri ni kufanya kazi na Magufuli kama mshirika wenu, lakini mkiendelea kumfanya kuwa ni competitor wenu, atawatesa sana
Can you imagine alisoma ule Uzi ulioletwa na MK254 siku iliyofuata alirauka mapema kupeleka vitabu vya kiswahili afrika kusini.hahahaha he went purposely for kiswahil
hahaha yaani mnaogopa wakenya ivo.,,jiwe alikimbia mbio SA on hearing kenya itafunza SA.,,