joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #21
Ndio amewanyang'anya kama alivyowanyang'anya bomba la Uganda. Sasa hivi anaelekeza nguvu zake kuwanyang'anya SGR ya Uganda.Dah! Alafu yeye sasa ndio mnamuita akili kubwa? Kenya hatukuwaza kuhusu mtu yeyote yule tulipochangamkia fursa na tukafanikiwa. Tafakari hayo.