Magufuli ainyang'anya tena Kenya fursa, kama alivyofanya katika bomba la Uganda.

Umefikiria kweli ulichocomment?
 
Walimu wakiswahili wamejaa mtaan huku hawana ajira wee unasema tunaupungufu wa walimu wa kiswahili??? Labda ka unaongelea somo lingne Ila walimu wa arts subjects wapo wengi mtaan mi namarafiki hadi wameamua wakafundishe English medium school tena primary na wana degree
 
Umefikiria kweli ulichocomment?

..Ndiyo, nimefikiria.

..Tz tuna shortage ya waalimu hivyo tunatakiwa tufanye kila linalowezekana ku-retain waalimu wetu.

..Mimi nilitegemea Raisi atakapokuwa nje ya nchi ajaribu kuvutia waalimu kuja kufundisha Tz, na siyo kuchochea waalimu waondoke Tz.
 

..kuna njia nyingi za kuwatumia hao waalimu ambao wamesomeshwa kwa kodi za masikini wa Tz.

..wanaweza kuwa-retrained wakafundisha masomo yenye uhaba wa waalimu.

..wanaweza kupelekwa kufundisha kiingereza ktk shule za msingi.

..pia siyo dhambi kwa mwalimu mwenye degree kufundisha primary school. Kwenye nchi za wenzetu watoto wa vidudu wanafundishwa na waalimu wenye shahada za vyuo vikuu.

.
 
Ni kwel sio dhambi.. Nilikua namwambia huyo jamaa alosema tz kuna upungufu wa walimu wa kiswahili wakat wapo wengi hadi wamejiongeza kufundisha primary za privatee
 
Kenya wametufunza greenhouse na drip Irrigation farming? Irrigation ipi hiyo? Greenhouse farming ipi? Ya Galana? Peleka upumbavu! Tell us about Kenya teaching us microfinance, Islamic banking n soko huria!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…