babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Umefikiria kweli ulichocomment?
..Tz hatuna waalimu wa kutosha halafu tunajisifu kupeleka waalimu SA!?
..kuna wakati Magufuli alitaka kupeleka madaktari Kenya.
..baadhi yetu tulipinga uamuzi huo, na tunashukuru MUNGU haukufanikiwa.
..mimi uamuzi huu sikubaliani nao. Ningempongeza Raisi kama angeweza kushawishi nchi nyingine zitusaidie kukabiliana na shortage ya waalimu hapa Tz.