Magufuli akifufuka Leo, atakufa tena, kulingana na Yale aliyoyaacha na yanayojiri

R_Breazy

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2025
Posts
391
Reaction score
746
Habari wakuu
Mimi si mnazi, Wala Sina DNA za siasa ila naamini kabisa Magufuli akifufuka Leo, atakufa tena kulingana na Yale aliyoyaacha na yanayojiri🙌🙌💔

Wengine watakuja na hoja Vipi kuhusu Nyerere?! Ila ikitokea Nyerere kafufuka basi atashangazwa na maendeleo tuliyonayo Leo kama taifa. Nyerere anasifika Kwa mengi mazuri pengine sababu sikuwahi bahatika kumuona akiwa hai, ukiniletea Nyerere na Magufuli still ntaondoka na Magufuli

He is best president in Tanzania & Africa mashariki asee🙏🙏
MUNGU amlaze salama Rais wangu ila ikitokea akiamka atakufa tena Kwa mshituko aendelee tu kupumzika.
 
Siasa ya Nyerere ya Ujamaa na kujitegemea ndo imetufikisha hapa tulipo...

Makosa ni mengi ila tukubali kuna sehemu ilitusaidia...

Mfano swala la kumiliki Ardhi huwezi jifananisha na Kenya
 
Kenya swala la kumiliki ARDHI likoje
Sema mi nililenga zaidi maono alikuwa nayo Magufuli yalikuwa yanaumiza wachache ila faida Kwa wengi basi tu coz siasa ni kama Simba na yanga
 
Kila mmoja alifanya kwa nafasi yake kuanzia nyerere hadi samia.

Ila samia imemuharibia sana ile Oktoba, hili doa halitamfutika, hata yeye anajua kabisa pale hakusimama ipasavyo!

Litamsumbua sana maisha yake yote.
 
Sjui nlireply vipi kuhusu Samia aloo ilaa 💔💔
 
Tuache unafiki na uchawa, Kila Rais alifanya sehemu yake. Mambo ya kuanza kulinganishana naona ni kama uchawa. Unamlinganisha Nyerere na Magufuli kweli?. Tuwe serious
 
Kwani yeye alikua malaika hadi ashangae

Hata yeye anamajanga yake kibao angepata nafasi aandike kitabu angekiri kua kuna mambo mengi aliwahi kukosea

Acheni wapumzike mambo ya kulinganisha viongozi huu nao hua ni uchawa wa kinamna
 
Habari wakuu
Mimi si mnazi, Wala Sina DNA za siasa ila naamini kabisa Magufuli akifufuka Leo, atakufa tena kulingana na Yale aliyoyaacha na yanayojiri🙌🙌💔

Wengine watakuja na hoja Vipi kuhusu Nyerere?! Ila ikitokea Nyerere kafufuka basi atashangazwa na maendeleo tuliyonayo Leo kama taifa. Nyerere anasifika Kwa mengi mazuri pengine sababu sikuwahi bahatika kumuona akiwa hai, ukiniletea Nyerere na Magufuli still ntaondoka na Magufuli

He is best president in Tanzania & Africa mashariki asee🙏🙏
MUNGU amlaze salama Rais wangu ila ikitokea akiamka atakufa tena Kwa mshituko aendelee tu kupumzika.
 
Attachments

  • 12106267_521609908008489_526580475_n.jpg
    12106267_521609908008489_526580475_n.jpg
    15.6 KB · Views: 7
Kwani yeye alikua malaika hadi ashangae

Hata yeye anamajanga yake kibao angepata nafasi aandike kitabu angekiri kua kuna mambo mengi aliwahi kukosea

Acheni wapumzike mambo ya kulinganisha viongozi huu nao hua ni uchawa wa kinamna
Nlichokiandk na uchawa mbn hata havi match-umetumia akili au mgongo kutafakari nilichoandika??
 
Tuache unafiki na uchawa, Kila Rais alifanya sehemu yake. Mambo ya kuanza kulinganishana naona ni kama uchawa. Unamlinganisha Nyerere na Magufuli kweli?. Tuwe serious
Em quote sehemu nimelinganisha, kichwa panzi🤐
 
Back
Top Bottom