Kenya swala la kumiliki ARDHI likojeSiasa ya Nyerere ya Ujamaa na kujitegemea ndo imetufikisha hapa tulipo...
Makosa ni mengi ila tukubali kuna sehemu ilitusaidia...
Mfano swala la kumiliki Ardhi huwezi jifananisha na Kenya
Sjui nlireply vipi kuhusu Samia aloo ilaa 💔💔Kila mmoja alifanya kwa nafasi yake kuanzia nyerere hadi samia.
Ila samia imemuharibia sana ile Oktoba, hili doa halitamfutika, hata yeye anajua kabisa pale hakusimama ipasavyo!
Litamsumbua sana maisha yake yote.
Inasikitisha sana.Kila kitu ni fikra
Habari wakuu
Mimi si mnazi, Wala Sina DNA za siasa ila naamini kabisa Magufuli akifufuka Leo, atakufa tena kulingana na Yale aliyoyaacha na yanayojiri🙌🙌💔
Wengine watakuja na hoja Vipi kuhusu Nyerere?! Ila ikitokea Nyerere kafufuka basi atashangazwa na maendeleo tuliyonayo Leo kama taifa. Nyerere anasifika Kwa mengi mazuri pengine sababu sikuwahi bahatika kumuona akiwa hai, ukiniletea Nyerere na Magufuli still ntaondoka na Magufuli
He is best president in Tanzania & Africa mashariki asee🙏🙏
MUNGU amlaze salama Rais wangu ila ikitokea akiamka atakufa tena Kwa mshituko aendelee tu kupumzika.
Nlichokiandk na uchawa mbn hata havi match-umetumia akili au mgongo kutafakari nilichoandika??Kwani yeye alikua malaika hadi ashangae
Hata yeye anamajanga yake kibao angepata nafasi aandike kitabu angekiri kua kuna mambo mengi aliwahi kukosea
Acheni wapumzike mambo ya kulinganisha viongozi huu nao hua ni uchawa wa kinamna