Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Yeah...kwa hisani ya VPNNipo Iran
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah...kwa hisani ya VPNNipo Iran
br tayari utakuwa ushafika zimbabwe uhamishoni kama ulivyosema auNipo tayari kuhama nchi kama Magu atashinda Urais
Nitaondoa biashara zangu zote Tanzania na kuziamishia nchi zingine.
Nitaondoa watoto wangu wote Tanzania siwezi kuendelea kuishi kifala ndani ya nchi yangu Bora nikaishi kifala ugenini.
Kwanini naondoka? Kwa sababu sioni nchi ikiwa salama kiuchumi,kisiasa na kibiashara.
Hali itakuwa tete sana!
kutakuwa na mtikisiko mkubwa wa kiuchumi.
Naomba vijana niliokuwa nimewaajiri kwenye mishemishe zangu mnisamehe kama Magufuli atachaguliwa tena kuwa Rais kwa miaka mingine 5.