Uchaguzi 2020 Magufuli akishinda tena Urais mimi nahama Nchi

Toka umezaliwa umeshawahi kuona au kusikia kiongozi wa CCM ametekwa wala kukamatwa na Polisi?
ndiyo; marehemu Masabauri alikamwata wakati wa uchaguzi wa mwaka 1995 kwa kumtishia mtu na bastola. Wakati huo alikuwa mwenyekiti wa UVCCM DAR
 
Ila bavicha mna mikwara sana, vp umeshahama nchi? Mmiliki wa kitambulisho cha mjasiriamali nyuma ya keyboard na id fake anajikuta mfanya biashara wa kimataifa[emoji3]
expand...
Ni mataahira (mental retards) pekee ndiyo wanaweza kushangilia eti CCM na Magufuli wameshinda uchaguzi huu wa 2020.
 
Well; life will go on as usual. You may need psychological counseling in order to cope with the new order of life.
 
Ushahama?
 
Unahama lini? Je una kashamba uniuzie ili upate nauli?
 
Sasa je, umesha ondoka? Maana Magufuli amekqisha kuwa Rais tena.
 
Well; life will go on as usual. You may need psychological counseling in order to cope with the new order of life.
Kikinuka hao psychological counsellors utawapata wapi wakati kila mtu atakuwa anapambana na hali yake?
 
Tatizo mkuu jpm washauri wake wamjaza upepo ,Kama uchaguzi unarudiwa wa haki na akaamua kuwaomba radhi watanzania ,na kutorudia makosa yale amefanya katika uongonzi wake wa miaka mitano iliyopita,akahidi katiba mpya ,anaweza kushinda hata bila msaada wa vyombo vyovyote
ILA JAPO SERIKALI MNAZIBA MASIKIO
Tupo ambao tunaongea na mungu live,ila sio wachungaji ,hatuna makanisa
FUTEN UCHAGUZI HUU NASEMA ILI KUWEKA TAIFA SAWA
 
ushauri mzuri sana huu, nmepata wisdom moja mbili apa
 
skia hii ingine huku, and what if ndo wananchi wamechagua sasa
 
Unaongea na Mungu live?
Aiseeee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…