Elections 2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

Elections 2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

Hiyo siyo nguvu ya umma ila ni uhuni.

Uhuni mtu yeyote akiamua anaweza kuufaya, lakini matokeo yake ni kuvujika kwa amani.

Kama wao wameshaamua kuwa wanamtaka Lowassa nini kinawapeleka kwenye mkutano wa Magufuli?

Inaonekana kabisa kuwa kuna kundi lililojiandaa kufanya fujo na walishaandaa camera wapige hii picha ya video.

Ukawa badala ya kuchekelea vitu kama hivi inabidi mvikemee kwa sabau watanzania hawapendi vurugu, hawatamchagua mtu anayeandaa vikundi vya vurugu.

Mbona Ccm wanavumilia vurugu zinazo fanywa na masaburi hapa ubungo.tulia ikuingie
 
Kama chadema mmeanza kutayarisha vikundi vya kuharibu mikutano ya Magufuli nadhani mnamtafutia majanga mgombea wenu ambaye sidhani kama hata anaweza kuhimili mikiki ya kuzomewa na kufanyiwa fujo kwa kutokana na afya yake. Sasa mmeanza wenyewe siasa za kihuni msijekulalamika na ushahidi ni video hii inayoonekana iliandaliwa na muhamasishaju anaonekana mbali kwa nyuma akiwa na loud speaker tena ni kakikundi kalikoandaliwa nyuma kabisa ya mkutano ili kuharibu taswira ya kukubalika kwa MAGUFULI. mmeyaanza wenyewe.
 
Mkuu, kwenye jukwaa la complaints kuna thread vijana wa bavicha wakishirikiana na nyumbu wa ulipo tupo wanalalamika picha za Magufuli kuwekwa kwenye thread wanazoanzisha.

Cha kushangaza, watu haohao ndio wanaunga mkono wahuni kuvamia mikutano ya kampeni na kufanya fujo.

Hizi zote ni dalili za kushindwa. Watu wanaojiandaa kuchukua serikali hawawezi kufanya uhuni kama huu.
watu wanaojiandaa kushidwa wanakuwa na mawazo kama yako
 
Sometimes ukizisoma akili za UVCCM ni shider,

mkijibiwa mnaanza kulialia Ukawa wahuni, safari hii ni jino kwa jino mlizoea kukimbilia polisi nao wamechoka kuwabeba.

sasa kama hanyonyagi,very simple question hapa..
unless otherwise hizi habari kahadithiwa na mkewe.
 
Ni uhuni ambao unapunguza kura za ukawa toka kwa watu wastaarabu. Kama wewe umeshaamua unamtaka Lowassa huna sababu ya kwenda kupiga kelele kwenye mkutano wa Magufuli.

wastaarabu wote wameridhika na maisha na wengi wao wako ccm na ni mabilionea tayari. bahati mbaya ambao hawajastaarabika 'hao unaowaita wahuni' ndio wamepindishwa na hali ngumu ya maisha, wao ni mabukulionea, na ndio wapiga kura mwaka huu. una lingine?
 
Ccm mkome mashetani nyie.mlaaniwe milele.nakuzimu inawasubiri na Mwenyekiti wenu
 
Hicho ni kikundi cha wahuni kimepangwa kwa shughuli hiyo ujaona wanavyohangaika kuchukuwa video clips wawapelekee waliowatuma.

hehe!!! akinya kuku kanya, akinya bata kahara eh? mkuki kwa nguruwe tu.... Tukutane tar 25.
 
uhuni huo nao mnaita nguvu ya umma hayo ndo madhara ya viroba
 
Hivi ukiulizwa leta evidence ya utaratibu wa CDM kufanya mikutano inayo jirekodi na CCTV kama kwenye ule mkutano wa Arusha walivyofanya unayo?

Halafu yeye ndio mtu pekee mwenye evidence ya video ya tukio, the whole thing is amateurish but then you dont expect extensive planning kwa mtu alieshia form six na kufeli halafu apange mkakati ni Lema; i dont think it a mission kuona nani muhusika wa bomu la Arusha. Halafu watu hawa ndio wapewe nchi kweli, serikari ya Tanzania inamchekea sana Mbowe huo ndio ukweli wenyewe.
Mbona unashindwa kushangaa,inakuwaje Meneja kampeni wa Magufuli Bwana Bulem
 
Kabla ya kusifia huu uhuni jiulize, je wewe unaweza kwenda kwenye mkutano wa mgombea usiyemtaka kwenda kuimba jina la mgombea mwingine? Ukiona huwezi kufanya hivyo jiulize, what is wrong with these kids?

'these kids' ndio wapumbavu, ndio malofa na vilaza wa bavicha, but the bad news is, 'these kids' ndio wapiga kura mwaka huu. ata wazee hawana vichinjio sijui mtapitia kwenye paa maana mlangoni moto, dirishani komeo, upo?
 
Kwa kauli hiyo inaonekana unakubali pia Lowassa ni mgonjwa sasa mgonjwa anafaa kweli kuwa raisi huu sio ugonjwa mwingine wowote ni conditional disease ambayo ina affect uwezo wa mtu physically na mentally kwa hivyo unaweza kuona kwanini kuna umuhimu wa kuwakumbusha wapiga kura kuhusu huo ungonjwa wenyewe.

Hoja ya kuzomea kwa Magufuli kama mgombea aiwezi kuwa equated na ugonjwa kwasababu maamuzi yanafanyika kupitia sanduku la kura au au sijui BRV kwa hivyo wanachofanya vijana na viongozi wao kukaa kimya ni kuhatarisha amani amini usiamini mataifa ya ulimwengu wa kwanza utashitakiwa kwa irresponsible politics na serikari aitojali support yako kama vipi na wao kibano kitafuata hilo wala halina mjadala.

Hilo la masabauri kwanza unatakiwa ulete ushahidi wa kupanga kweli maandamano ya kutunga, hata hivyo sioni inatishia vipi amani yetu kama walivyofanya hao vijana kwenye hiyo clip.

Safari hii tunataka rais mgonjwa. Hao wazma wametufanyia nini?
 
Safari hii tunataka rais mgonjwa. Hao wazma wametufanyia nini?
Kuchaguwa mgonjwa ni sawa na kujaribu kuvuka mto uliojaa mamba kwa kuogelea usijaribu; Vumilia Magufuli ni sampuli nyingine kwenye usimamizi uwezo tayari kesha uonyesha na dhamira hiyo kaiweka wazi mabadiliko yaja achana na matapeli.
 
Mbeya Leo asubuhi alipokuwa anaenda Mbarali Wananchi walizuia msafara wake na kumwambia wanataka mabadiliko na mtu wa kuyaleta mabadiliko ni Lowassa





Mbona mwenyekiti wao alimpongeza sana Magufuli kwa kazi zake njema? Sasa kama haea si wahuni ni nini? Au ndiyo siasa za UKAWA hizi? Ndiyo hawa wanataka kuongoza taifa?.

https://youtu.be/yihHDlvuKFY
 
Last edited by a moderator:
Hiyo siyo nguvu ya umma ila ni uhuni.

Uhuni mtu yeyote akiamua anaweza kuufaya, lakini matokeo yake ni kuvujika kwa amani.

Kama wao wameshaamua kuwa wanamtaka Lowassa nini kinawapeleka kwenye mkutano wa Magufuli?

Inaonekana kabisa kuwa kuna kundi lililojiandaa kufanya fujo na walishaandaa camera wapige hii picha ya video.

Ukawa badala ya kuchekelea vitu kama hivi inabidi mvikemee kwa sabau watanzania hawapendi vurugu, hawatamchagua mtu anayeandaa vikundi vya vurugu.

Nyinyi masaburi alipoandaa vijana wafanyefujo mlichekelea leo kibao kimewageukia mnaanza kulia.
 
Back
Top Bottom