Hiyo siyo nguvu ya umma ila ni uhuni.
Uhuni mtu yeyote akiamua anaweza kuufaya, lakini matokeo yake ni kuvujika kwa amani.
Kama wao wameshaamua kuwa wanamtaka Lowassa nini kinawapeleka kwenye mkutano wa Magufuli?
Inaonekana kabisa kuwa kuna kundi lililojiandaa kufanya fujo na walishaandaa camera wapige hii picha ya video.
Ukawa badala ya kuchekelea vitu kama hivi inabidi mvikemee kwa sabau watanzania hawapendi vurugu, hawatamchagua mtu anayeandaa vikundi vya vurugu.
watu wanaojiandaa kushidwa wanakuwa na mawazo kama yakoMkuu, kwenye jukwaa la complaints kuna thread vijana wa bavicha wakishirikiana na nyumbu wa ulipo tupo wanalalamika picha za Magufuli kuwekwa kwenye thread wanazoanzisha.
Cha kushangaza, watu haohao ndio wanaunga mkono wahuni kuvamia mikutano ya kampeni na kufanya fujo.
Hizi zote ni dalili za kushindwa. Watu wanaojiandaa kuchukua serikali hawawezi kufanya uhuni kama huu.
Halafu kuna nyumbu watakuja hapa kusema umati wote huo umehongwa na Lowassa kufanya fujo!
Sometimes ukizisoma akili za UVCCM ni shider,
mkijibiwa mnaanza kulialia Ukawa wahuni, safari hii ni jino kwa jino mlizoea kukimbilia polisi nao wamechoka kuwabeba.
Ni uhuni ambao unapunguza kura za ukawa toka kwa watu wastaarabu. Kama wewe umeshaamua unamtaka Lowassa huna sababu ya kwenda kupiga kelele kwenye mkutano wa Magufuli.
virus wa lumumba hawaji hapa
Hahahahahahaa hivi kweli mkono wa sweta?
Hicho ni kikundi cha wahuni kimepangwa kwa shughuli hiyo ujaona wanavyohangaika kuchukuwa video clips wawapelekee waliowatuma.
Mbona unashindwa kushangaa,inakuwaje Meneja kampeni wa Magufuli Bwana BulemHivi ukiulizwa leta evidence ya utaratibu wa CDM kufanya mikutano inayo jirekodi na CCTV kama kwenye ule mkutano wa Arusha walivyofanya unayo?
Halafu yeye ndio mtu pekee mwenye evidence ya video ya tukio, the whole thing is amateurish but then you dont expect extensive planning kwa mtu alieshia form six na kufeli halafu apange mkakati ni Lema; i dont think it a mission kuona nani muhusika wa bomu la Arusha. Halafu watu hawa ndio wapewe nchi kweli, serikari ya Tanzania inamchekea sana Mbowe huo ndio ukweli wenyewe.
Umati upi hao ni wahuni tu wanafanya fujo kama mnamtaka Lowassa na mnajiamini si msubiri siku ya kupiga kura.
Kabla ya kusifia huu uhuni jiulize, je wewe unaweza kwenda kwenye mkutano wa mgombea usiyemtaka kwenda kuimba jina la mgombea mwingine? Ukiona huwezi kufanya hivyo jiulize, what is wrong with these kids?
Kwa kauli hiyo inaonekana unakubali pia Lowassa ni mgonjwa sasa mgonjwa anafaa kweli kuwa raisi huu sio ugonjwa mwingine wowote ni conditional disease ambayo ina affect uwezo wa mtu physically na mentally kwa hivyo unaweza kuona kwanini kuna umuhimu wa kuwakumbusha wapiga kura kuhusu huo ungonjwa wenyewe.
Hoja ya kuzomea kwa Magufuli kama mgombea aiwezi kuwa equated na ugonjwa kwasababu maamuzi yanafanyika kupitia sanduku la kura au au sijui BRV kwa hivyo wanachofanya vijana na viongozi wao kukaa kimya ni kuhatarisha amani amini usiamini mataifa ya ulimwengu wa kwanza utashitakiwa kwa irresponsible politics na serikari aitojali support yako kama vipi na wao kibano kitafuata hilo wala halina mjadala.
Hilo la masabauri kwanza unatakiwa ulete ushahidi wa kupanga kweli maandamano ya kutunga, hata hivyo sioni inatishia vipi amani yetu kama walivyofanya hao vijana kwenye hiyo clip.
Kuchaguwa mgonjwa ni sawa na kujaribu kuvuka mto uliojaa mamba kwa kuogelea usijaribu; Vumilia Magufuli ni sampuli nyingine kwenye usimamizi uwezo tayari kesha uonyesha na dhamira hiyo kaiweka wazi mabadiliko yaja achana na matapeli.Safari hii tunataka rais mgonjwa. Hao wazma wametufanyia nini?
Mbeya Leo asubuhi alipokuwa anaenda Mbarali Wananchi walizuia msafara wake na kumwambia wanataka mabadiliko na mtu wa kuyaleta mabadiliko ni Lowassa
Majibu ni october mutanyoka tu na huo ushabiki wenu wa kisenge rais ni Makufuli tu ata Fisadi Lowassa atoboi...
Hiyo siyo nguvu ya umma ila ni uhuni.
Uhuni mtu yeyote akiamua anaweza kuufaya, lakini matokeo yake ni kuvujika kwa amani.
Kama wao wameshaamua kuwa wanamtaka Lowassa nini kinawapeleka kwenye mkutano wa Magufuli?
Inaonekana kabisa kuwa kuna kundi lililojiandaa kufanya fujo na walishaandaa camera wapige hii picha ya video.
Ukawa badala ya kuchekelea vitu kama hivi inabidi mvikemee kwa sabau watanzania hawapendi vurugu, hawatamchagua mtu anayeandaa vikundi vya vurugu.