Hiyo ilikua maeneo ya Soweto siku nyingi wakati akifanya Ziara mkoani mbeya, kwa leo Magufuli alikua sehemu za Iringa, Njombe kwa maana ya Makambako na Mbarali
Kuhusu clip ya kuzomewa, ni kwamba hawa jamaa zetu wa UKAWA wana siasa za majitaka. Waliandaa kikundi maalum na mpiga picha za mnato na video kwa ajili ya kumzomea Dr. Magufuli. Hata wananchi waliokuwepo walikishangaa kikundi hicho.
Nani alimwambia asimame pale?ukawa walijuaje atasimama pale na kuandaa kikundi?!??
Yaani ccm bure kabisa akili
hao wazomeaji wasifikiri makufuli ni jk,kwamba atapotezea tu
Sijaelewa wazuia msafala na kudai wanataka Lowasa how?
Tutajie eneo ?
Maana apo naona pia makada wa CCM na pia vijana wa CDM kama kawaida yao kuuleta fujo kwenye kusanyiko LA CCM rejea Sugu kupita kwenye mkutano wa Shitambala zaidi ya Mara mbili.
Fujo hazijengi kaa chini sikiliza hoja ufanye maamuzi no wonder Mtikila husema wanakazia viroba na bhangi such that kistaarabu unawaponyoka kabisa
hiyo ni kazi ya kitoto maana watu hawa wameandaliwa kuzomea hivyo kwetu wala sio tatzo tunajua muda utafika na ndipo mtakapokuja kujua kuwa magufuli ndio rais wetu
Halafu kuna nyumbu watakuja hapa kusema umati wote huo umehongwa na Lowassa kufanya fujo!
Sijaelewa wazuia msafala na kudai wanataka Lowasa how?
Tutajie eneo ?
Maana apo naona pia makada wa CCM na pia vijana wa CDM kama kawaida yao kuuleta fujo kwenye kusanyiko LA CCM rejea Sugu kupita kwenye mkutano wa Shitambala zaidi ya Mara mbili.
Fujo hazijengi kaa chini sikiliza hoja ufanye maamuzi no wonder Mtikila husema wanakazia viroba na bhangi such that kistaarabu unawaponyoka kabisa
kwa sababu wewe humpendi mtoto wako na hivyo humpendi magufuliMtt wangu hampendi magufuri why?