Elections 2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

Magufuli leo akiwa mbeya kuelekea mbarari amekutana na nguvu ya mabadiliko baada ya kusimamisha msafara wake aongee na wananchi ghafla akashuudia mikono inaviringishwa na vidole viwili juu vye alama ya V
Hali hiyo na kiu hiyo ilisababisha kabisa mgombea huyu wa urais kupitia Ccm ashindwe kutamka neno lolote na kuondoka eneo husika kuelekea mbarari.
 

Mkuu,hao watu wa Magufuri mtaani hawapo pengine Lumumba tu.CCM mnategemea kukusanya watu kwa mara kutoka huku na kule ili mkutano uwe na watu.Hamuwezi kupata vijana hao kutoka sehemu moja.
Pia tambua ni tabia ya Magufuri kufanya mikutano ya barabarani walichofanya ni kumueleza tu kuwa hawamtaki aendelee na safari yake,hakuna hata jiwe wala chupa iliyorushwa mkuu.
 
Mbeya Leo asubuhi alipokuwa anaenda Mbarali Wananchi walizuia msafara wake na kumwambia wanataka mabadiliko na mtu wa kuyaleta mabadiliko ni Lowassa

Kama ni kweli walimzuia.Ni kosa kisheria.Anayeamua mtu kuwa raisi ni mpiga kura.Huwezi zuia mgombea wa chama kingine na kumwambia tunamtaka mgombea wetu.Inaelekea hao waliozuia hawajui sheria wala chochote.Hivi magari ya washawasha yangewamwagia maji na wakawapiga virungui wangesema wanaonewa?

Huwezi zuia msafara wa chama kisicho chako au kuuingilia msafara wa chama kingine.CHADEMA elimisheni hao wahuni weni na wanywa viroba.CCM ikiamua kumfanyizia huyo mtu wenu msije piga yowe.

Jeshi la polisi nalo likakamae lisiachie ujinga kama huo ujirudie tena
 
si ahamie tu ukawa anaweza kuambulia hata ubunge wa kuteuliwa sijui anasubiri nini.ccm ishakufa,ndo inaondoka hivyo na mzee
 

Wewe upo dunia gani, siku hizi kila simu ina record video, kwa hiyo mtu yoyote aweza record tukio
 
Ushindi hatokani na makelele au kunyoosha vidole juu. Wakiendelea hivi hata sisi tutawajibu
 
ACT mnaendeleaje na kampeni?

Punguza mapovu....
 
Mtaeleza yote hapo ndo mjue kuwa watu wamechoka
 
Eti bavicha jipe moyo tar 25 itaongea..watu wote hao unajifanya hamnazo ee
 
kikwete kamuachia balaa mzEe wa watu Mimi ndio Kama makufuli ningejitoa tu kwenye kinyan'anyro nisubirie labda lowassa atanipa uwaziri was ujenzi
 
We ---- kweli. Pombe ana watu au maruhani ya kitengo?
 

mpumbavu ni wewe na ukoo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…