Elections 2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

Elections 2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

Bavicha bana sasa hapo nguvu ya ipo wapi hao wahuni wachache wanaopiga kelele?

Wapiga kura wametulia majumbani hawana fujo.

Endeleeni kujifariji mtakimbia humu baada ya uchaguzi.

Huo umati umeuona mkuu???hao raia unaowaona wamefanya hvyo kwa mapenzi yao kwa ukawa na lowasa,hajalipwa m2 hpo, hata m2mie pesa zenu kuwalipa vijana kufanya hvyo kama kawaida yenu hamuwezi kupata umati mkubwa kama huo wa kumzomea lowasa #hiyo ni nguvu ya umma walo siyo uhuni!!!
 
Ujinga na upumbavu mtupu?

Hivi unadhani na watu wa Magufuli wakianza kufanya hiki kinachofanywa na wajinfa wakisaidiana na wapumbavu kutakuwa na amani katika kampeni za uchaguzi.

Mshukuru watu wa upande wa Magufuli ni wastaarabu na wanafahamu dhana ya kukubali kutokubaliana katika msingi wa demokrasia.

Magufuli ana watu gani? Au akina mheshimiwa?
 
Bavicha bana sasa hapo nguvu ya ipo wapi hao wahuni wachache wanaopiga kelele?

Wapiga kura wametulia majumbani hawana fujo.

Endeleeni kujifariji mtakimbia humu baada ya uchaguzi.

Huo umati umeuona mkuu???hao raia unaowaona wamefanya hvyo kwa mapenzi yao kwa ukawa na lowasa,hajalipwa m2 hpo, hata m2mie pesa zenu kuwalipa vijana kufanya hvyo kama kawaida yenu hamuwezi kupata umati mkubwa kama huo wa kumzomea lowasa #hiyo ni nguvu ya umma walo siyo uhuni!!!
 
Magufuli leo akiwa mbeya kuelekea mbarari amekutana na nguvu ya mabadiliko baada ya kusimamisha msafara wake aongee na wananchi ghafla akashuudia mikono inaviringishwa na vidole viwili juu vye alama ya V
Hali hiyo na kiu hiyo ilisababisha kabisa mgombea huyu wa urais kupitia Ccm ashindwe kutamka neno lolote na kuondoka eneo husika kuelekea mbarari.

Siasa za chuki hazitoleta maendeleo kwa taifa hili.
 
UKAWA mjifunze siasa za kuvjmiliana. Kama tukiendekeza zomea zomea sijui kama tutafanikiwa kimaendeleo. Ndo maana wenye akili wanawakimbia. Wanabaki wajinga tu na malofa

Mkuu mi nadhani kwa hili wa kulaumiwa ni Magufuri mwenyewe.kilichomponza ni ile mikutano anayoita ya hapo kwa hapo(barabarani)Walichokifanya hao wakazi ni kumfikishia ujumbe kuwa hawamtaki aendelee na safari yake tu.Inafahamika CCM wao wanategemea kusomba watu alipaswa aende moja kwa moja kwa hadhira iliyosombwa tayari.Vijana hao wala hawajafanya vujo hata chupa ya maji haikurushwa.
 
Mbeya Leo asubuhi alipokuwa anaenda Mbarali Wananchi walizuia msafara wake na kumwambia wanataka mabadiliko na mtu wa kuyaleta mabadiliko ni Lowassa

Sasa kwani shida iko wapi hizo nguvu si wazimalizie kwenye sanduku la kura ,waweza kutwa pamoja na nguvu yote hiyo baada hawana card ya mpiga kura upuuzi mtupu
 
Last edited by a moderator:
Hiyo siyo nguvu ya umma ila ni uhuni.

Uhuni mtu yeyote akiamua anaweza kuufaya, lakini matokeo yake ni kuvujika kwa amani.

Kama wao wameshaamua kuwa wanamtaka Lowassa nini kinawapeleka kwenye mkutano wa Magufuli?

Inaonekana kabisa kuwa kuna kundi lililojiandaa kufanya fujo na walishaandaa camera wapige hii picha ya video.

Ukawa badala ya kuchekelea vitu kama hivi inabidi mvikemee kwa sabau watanzania hawapendi vurugu, hawatamchagua mtu anayeandaa vikundi vya vurugu.

Hawa wamekusanya wahuni, wapumbavu na malofa! Hafikiri kabisa!!!
 
UKAWA mjifunze siasa za kuvjmiliana. Kama tukiendekeza zomea zomea sijui kama tutafanikiwa kimaendeleo. Ndo maana wenye akili wanawakimbia. Wanabaki wajinga tu na malofa

Sidhani kama upo sahihi kusema kuwa Magufuli ni mtu wa visasi

Sisi wajinga na malofa ndio tutawanyoa kwa maji moto kaka kuku oct25. Zingusha pipoziiiii.
 
Sasa kwani shida iko wapi hizo nguvu si wazimalizie kwenye sanduku la kura ,waweza kutwa pamoja na nguvu yote hiyo baada hawana card ya mpiga kura upuuzi mtupu
Pia waweza kuwa wamelipwa kufanya fujo! Hizi ni fujo ambayo tume ya uchaguzi lazima iiangalie kwa mapana yake!
 
si ahamie tu ukawa anaweza kuambulia hata ubunge wa kuteuliwa sijui anasubiri nini.ccm ishakufa,ndo inaondoka hivyo na mzee

Ubunge? Babu kasema ni bora awe Diwani wewe unasema ubunge

Last edited by a moderator:
Wapi Faiza Fox!!!! tumpe limao!!!!! I am a politicians....... I congragate.....!! hali yako tete!!!!!!
 
Unafikiri Ukawa kuna mtu anamuda wa kukusanya watu wa kuzomea kama CCM mnavyofanya? Ukawa hakuna upumbavu kama wa Masaburi kukusanya mateja yaandamane. Ukawa ni sera na mtakiona 25 oktoba
Hicho ni kikundi cha wahuni kimepangwa kwa shughuli hiyo ujaona wanavyohangaika kuchukuwa video clips wawapelekee waliowatuma.
 
Ni uhuni ambao unapunguza kura za ukawa toka kwa watu wastaarabu. Kama wewe umeshaamua unamtaka Lowassa huna sababu ya kwenda kupiga kelele kwenye mkutano wa Magufuli.
Exactly! Hii hata kwa miccm. Jitu linapiga mikelele juu ya afya za wengine wakati wananchi wanataka kusikia sera sio majina ya wagonjwa.
 
Hiyo siyo nguvu ya umma ila ni uhuni.

Uhuni mtu yeyote akiamua anaweza kuufaya, lakini matokeo yake ni kuvujika kwa amani.

Kama wao wameshaamua kuwa wanamtaka Lowassa nini kinawapeleka kwenye mkutano wa Magufuli?

Inaonekana kabisa kuwa kuna kundi lililojiandaa kufanya fujo na walishaandaa camera wapige hii picha ya video.

Ukawa badala ya kuchekelea vitu kama hivi inabidi mvikemee kwa sabau watanzania hawapendi vurugu, hawatamchagua mtu anayeandaa vikundi vya vurugu.
Ukawa hawana tabia za kihuni kama za kina Masaburi kuandaa wahuni waandamane.

Vipi dili lenu la leo limebuma?

"Chadema kimenuka Mbeya"

"Viongozi wa 4um na viongozi wa boda boda wa mkoa wa mbeya wameamua kuhama chadema na kujiunga na ccm".
 
Back
Top Bottom