Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubunge? Babu kasema ni bora awe Diwani wewe unasema ubunge
Mbeya mjini hakuna CCM
Mkuu kama mnajiamini mna nguvu ya umma mnahangaika nini sasa si msubiri October 25 tuone hizo nguvu ya umma.Huo umati umeuona mkuu???hao raia unaowaona wamefanya hvyo kwa mapenzi yao kwa ukawa na lowasa,hajalipwa m2 hpo, hata m2mie pesa zenu kuwalipa vijana kufanya hvyo kama kawaida yenu hamuwezi kupata umati mkubwa kama huo wa kumzomea lowasa #hiyo ni nguvu ya umma walo siyo uhuni!!!
Tunahitaji kura za wahuni, wavuta bangi, machangudoa na wengineo walio kwenye muktadha huovizuri hao km wanaakili wangemkataa ndani ya box.. lakini huko ni kuonesha kuwa lowasa anasapoti ya wahuni pekee...
Bavicha bana sasa hapo nguvu ya ipo wapi hao wahuni wachache wanaopiga kelele?
Wapiga kura wametulia majumbani hawana fujo.
Endeleeni kujifariji mtakimbia humu baada ya uchaguzi.
Bavicha bana sasa hapo nguvu ya ipo wapi hao wahuni wachache wanaopiga kelele?
Wapiga kura wametulia majumbani hawana fujo.
Endeleeni kujifariji mtakimbia humu baada ya uchaguzi.
Ujinga na upumbavu mtupu?
Hivi unadhani na watu wa Magufuli wakianza kufanya hiki kinachofanywa na wajinfa wakisaidiana na wapumbavu kutakuwa na amani katika kampeni za uchaguzi.
Mshukuru watu wa upande wa Magufuli ni wastaarabu na wanafahamu dhana ya kukubali kutokubaliana katika msingi wa demokrasia.
Koment ya kipuuzi sana hii.Mkuu kama mnajiamini mna nguvu ya umma mnahangaika nini sasa si msubiri October 25 tuone hizo nguvu ya umma.
Teh teh teh!!Kwa hadhi yako kamanda mpaka umeamua ku-comment manake imeku-touch na dawa imekuingia sawasawa. Tulia kamanda japo sindano inauma lakini sharti usitikise makalio isijevunjikia takoni ikawa balaa.
Dah hatariiiii mbeya hawataki mchezo wamekinukisha mbaya.
C mlisema chadema mbeya imepotea/
Sijaelewa wazuia msafala na kudai wanataka Lowasa how?
Tutajie eneo ?
Maana apo naona pia makada wa CCM na pia vijana wa CDM kama kawaida yao kuuleta fujo kwenye kusanyiko LA CCM rejea Sugu kupita kwenye mkutano wa Shitambala zaidi ya Mara mbili.
Fujo hazijengi kaa chini sikiliza hoja ufanye maamuzi no wonder Mtikila husema wanakazia viroba na bhangi such that kistaarabu unawaponyoka kabisa
Hiyo siyo nguvu ya umma ila ni uhuni.
Uhuni mtu yeyote akiamua anaweza kuufaya, lakini matokeo yake ni kuvujika kwa amani.
Kama wao wameshaamua kuwa wanamtaka Lowassa nini kinawapeleka kwenye mkutano wa Magufuli?
Inaonekana kabisa kuwa kuna kundi lililojiandaa kufanya fujo na walishaandaa camera wapige hii picha ya video.
Ukawa badala ya kuchekelea vitu kama hivi inabidi mvikemee kwa sabau watanzania hawapendi vurugu, hawatamchagua mtu anayeandaa vikundi vya vurugu.
Mkuu nakushauri rudi kwenye jukwaa lako la wakubwa siasa uziwezi.hehehehehe....
Mabadiliko hawayapati kwa mdoli kamwe, mabadiliko ni kwa Magufuli pekeeMbeya Leo asubuhi alipokuwa anaenda Mbarali Wananchi walizuia msafara wake na kumwambia wanataka mabadiliko na mtu wa kuyaleta mabadiliko ni Lowassa