Magufuli akuuza rasilimli za nchi Pamoja na kutekeleza miradi yote Mikubwa

Magufuli akuuza rasilimli za nchi Pamoja na kutekeleza miradi yote Mikubwa

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Huyu mzee pamoja na mapungufu yake yote akuuza rasilimli za nchi ili kuendesha miradi yake Aliweza kubana matumizi kwa kuondoka watumishi hewa ambao walikua wanajilipa mamilioni ya pesa akabana milija yote ya mafisadi tuliona wakina Seth wakipandishwa mahakamani

CCM alisafisha chama kuna watu waliona CCM ni mali yao kama alivyokua Mbowe kuna watu ndani ya CCM walikua wamejimilikisha mali za Chama cha mapinduzi mfano mmoja ni Lema villa park mwanza alikua halipi kodi

Upigaji serikali ulipungua kabisa akaleta nidhamu kwa watumishi wa Umma Magufuli alisema hapa kazi tu fanya kazi ndo ule kwa jasho ndo maana watoto wake hatukuona wanatembelea kwenye magari ya kifahari wauza madawa ya kulevya wote walibanwa mbavu

Sasa hivi rasilimali mnaziweka bond wakati population ya watu inazidi kuongezaka na pesa zinaishia kwenye mifuko ya Wachache ndo wanao nufaika

Mfano mradi wa BBT wa bwana Hussen Bashe ulitumia mabilioni ya watanzania lakini ulikua ni upigaji mtupu sio kusandia vijana Mpaka leo mnatafuta mchawi wenu kweli?

Aya GenZ ndo hao pambaneni nao na safari hii hata Wazazi wa GenZ wataingia barabarani
 
Magufuri alikuwa na ubabe lakini aliipenda sana hii nchi na alikuwa na nia ya dhati ya kuwasimamia maskini.

Kosa kubwa alifanya ni kuwakumbatia CCM na kuona upinzani ni maadui zake wakubwa. Maadui zake wakubwa walikuwa ndani ya chama chake. Wale ambao baada ya kifo chake walisikika wakisema “wachawi wote wameshakufa….”
 
Magufuli alitakiwa kufyeka wabaya wake wote bila huruma ndani ya CCM ndo kulika kuna majangili
 
Saaana. Yeye alikomaa na viwatu vya upinzani akasahau mashetani papa waliomzunguka…
Na ndo yametufikisha hapa tulipo tumepoteza ndugu zetu wadogo zetu wale watoto wadogo hapo dar ulikua ukipaki gari yako madogo wanakuja wanasafisha kioo cha gari wanapata chochote wanalala vibarazi wote wameuliwa
 
Magufuri alikuwa na ubabe lakini aliipenda sana hii nchi na alikuwa na nia ya dhati ya kuwasimamia maskini.

Kosa kubwa alifanya ni kuwakumbatia CCM na kuona upinzani ni maadui zake wakubwa. Maadui zake wakubwa walikuwa ndani ya chama chake. Wale ambao baada ya kifo chake walisikika wakisema “wachawi wote wameshakufa….”
Unaamini hapa Bongo kuna upinzani?
 
Back
Top Bottom