Magufuli alitakiwa kufyeka wabaya wake wote bila huruma ndani ya CCM ndo kulika kuna majangiliMagufuri alikuwa na ubabe lakini aliipenda sana hii nchi na alikuwa na nia ya dhati ya kuwasimamia maskini.
Kosa kubwa alifanya ni kuwakumbatia CCM na kuona upinzani ni maadui zake wakubwa. Maadui zake wakubwa walikuwa ndani ya chama chake. Wale ambao baada ya kifo chake walisikika wakisema “wachawi wote wameshakufa….”
Saaana. Yeye alikomaa na viwatu vya upinzani akasahau mashetani papa waliomzunguka…Magufuli alitakiwa kufyeka wabaya wake wote bila huruma ndani ya CCM ndo kulika kuna majangili
Na ndo yametufikisha hapa tulipo tumepoteza ndugu zetu wadogo zetu wale watoto wadogo hapo dar ulikua ukipaki gari yako madogo wanakuja wanasafisha kioo cha gari wanapata chochote wanalala vibarazi wote wameuliwaSaaana. Yeye alikomaa na viwatu vya upinzani akasahau mashetani papa waliomzunguka…
Unaamini hapa Bongo kuna upinzani?Magufuri alikuwa na ubabe lakini aliipenda sana hii nchi na alikuwa na nia ya dhati ya kuwasimamia maskini.
Kosa kubwa alifanya ni kuwakumbatia CCM na kuona upinzani ni maadui zake wakubwa. Maadui zake wakubwa walikuwa ndani ya chama chake. Wale ambao baada ya kifo chake walisikika wakisema “wachawi wote wameshakufa….”
Yaliyopita si ndwele....!