Magufuli aliacha legacy ya kufuta watu uwakili soon itakuwa ni playbook/precedent

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Wakati wa utawala wa magufuli alifanya tukio la ajabu alimvua fatma karume uwakili sababu alikuwa muongeaji sana na mkosoaji sana

Polepole akiwa sehemu ya serikali na leo hii anaonekana shujaa akusema chochote juu ya mawakili kuvuliwa uwakili na kushindwa kusimama mahakamani na wao kutafuta kazi nyingine

Baadhi ya watu tulipinga sana hatakama haikuwa waziwazi sababu ilikuwa wazi hii inaenda kutumika kama playbook kwa watawala wa mbeleni

Kuna habari ambazo sio rasmi ni rumors au gossip kwamba mabukusi anaweza vuliwa uwakili ni tetesi ambazo ni mapema kuthibitisha

Sasa ukiangalia nani ameanza hii precedent au ameifanya kuwa maarufu ni wakati wa utawala wa magufuli

Kwahiyo binafsi sitashangaa kwa mwabukusi kufutwa uwakili sababu utawala wa magufuli alionyesha inawezekana bila kuwa na hata tone la aibu
 
Usitukumbushe Magufuli, alikuwa mtu wa visasi.
Aliyepo madarakani amerithi na kuendeleza tabia mbaya zaidi.
 
Unapo mlaumu Pole pole Hakusema kitu kioindi cha Jiwe, Tuambie wewe ulichukua hatua gani?

Ni Chombo gani cha habari kilionesha wewe umeandamana na bango kupinga F - Karume kuvuliwa uanasheria?

Kama uliona kuna Ugumu, basi jua hata pole pole alipata Ugumu huo huo.

Na ndo maana, alipo amua kiishinda hofu na kutaka kunyooka, Akapotea mazima.
 
Polepole ni mnafki na aina ya watu kama polepole wapo wengi

Wanaongea wakiwa nje ya madaraka ila wakiwa wanalamba asali wanakuwa bubu

Wakati wa magufuli mpaka mikutano ya ndani ilikuwa inapigwa marufuku sembuse maandamano
 
Magufuli alirithi nchi toka kwa Kikwete, akaja na mfumo wake, Magufuli amefariki na aliyemrithi ni Samia. Kwanini unamlaumu Magufuli wakati Samia ana uwezo wa kuacha mabaya ya Magufuli. Ni unafiki kuendelea kupambana na marehemu ambaye hawezi kujibu hoja zako badala ya kupambana na huyu aliyeko madarakani.
 
Huyo Fatuma Karume wako umemsikia kwenye huu utawala wa mauaji ya halaiki wa kobazi mwenzake? Fatuma na Zitto ni majitu manafiki ya kutupwa!

After all mama ni rais na anaweza kufanya cho chote anachotaka. Kwa nini asiachane na utopolo wa Magufuli? The buck stops with her and she should bear the consequences and blames for her actions bila kubebesha mzigo watu wengine. Mwabukusi akifutwa uwakili atafutwa si kwa sababu ya magufuli bali sababu ya Samia! 📌
 
Fatuma hajayaona ya 29 oktoba na yanayoendelea ?
 
Back
Top Bottom