Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Usitukumbushe Magufuli, alikuwa mtu wa visasi.Wakati wa utawala wa magufuli alifanya tukio la ajabu alimvua fatma karume uwakili sababu alikuwa muongeaji sana na mkosoaji sana
Polepole akiwa sehemu ya serikali na leo hii anaonekana shujaa akusema chochote juu ya mawakili kuvuliwa uwakili na kushindwa kusimama mahakamani na wao kutafuta kazi nyingine
Baadhi ya watu tulipinga sana hatakama haikuwa waziwazi sababu ilikuwa wazi hii inaenda kutumika kama playbook kwa watawala wa mbeleni
Kuna habari ambazo sio rasmi ni rumors au gossip kwamba mabukusi anaweza vuliwa uwakili ni tetesi ambazo ni mapema kuthibitisha
Sasa ukiangalia nani ameanza hii precedent au ameifanya kuwa maarufu ni wakati wa utawala wa magufuli
Kwahiyo binafsi sitashangaa kwa mwabukusi kufutwa uwakili sababu utawala wa magufuli alionyesha inawezekana bila kuwa na hata tone la aibu
Polepole ni mnafki na aina ya watu kama polepole wapo wengiUnapo mlaumu Pole pole Hakusema kitu kioindi cha Jiwe, Tuambie wewe ulichukua hatua gani?
Ni Chombo gani cha habari kilionesha wewe umeandamana na bango kupinga F - Karume kuvuliwa uanasheria?
Kama uliona kuna Ugumu, basi jua hata pole pole alipata Ugumu huo huo.
Na ndo maana, alipo amua kiishinda hofu na kutaka kunyooka, Akapotea mazima.
Polepole ni mnafki na aina ya watu kama polepole wapo wengi
Wanaongea wakiwa nje ya madaraka ila wakiwa wanalamba asali wanakuwa bubu
Wakati wa magufuli mpaka mikutano ya ndani ilikuwa inapigwa marufuku sembuse maandamano
Huyu polepole ambaye alikuwa mtu wake wa karibu kwanini hakumshauriJibu swali wewe ulifanya nini?