Magufuli alichelewa kuwa Rais wetu

Tumuache JPM RIP. Tusipoteze muda kujadili ndoto badala yake tujadili hali ya sasa
 
JPM ameshaondoka......

Kama mwanadamu yeyote awaye yako aliyopatia na pia mapungufu.....

Hebu mkosoeni aliye HAI....hebu mkosoeni mwenyekiti wenu wa MILELE bwana mkubwa sana FREEMAN MBOWE....ama hana MAPUNGUFU ?!!!!!

Hayati JPM alipangwa na Mwenyezi Mungu kuwa kiongozi na RAIS WETU......na Mungu hufanya AYATAKAYO ILI UNABII UTIMIE.......


#Madaraka Makubwa Hutoka Kwa Mungu Mwenyezi

#Siempre JMT🙏
 
Uziwako umejaa kisirani cha ujinga tu hakuna lolote la maana, niushabiki maandazi tu.

Magu ataendelea kuwa kwenye record ya kuwa raisi bora tangia tupate uhuru.

Watu wazalendo walimpenda sababu hakutaka upumbavu kwenye swala la maendeleo ya nchi.

Mtaandika nyuzi za kijinga kamaulivyo andika mwisho maji yakipungua kichwani ndio mtazielewa kazizake.
 
Nyumbu hawezi kuelewa hata utumie lugha nzuri kiasigani.
 
Sio kweli sio mkuu wa mkoa wakilimanjaro huyo ,
Yule anaitwa Stephen Kagaigai mwanzo(pichani) alikuwa karani wa baraza la mawaziri baadaye Magufuli alimteua kuwa katibu wa bunge na baadaye tena Mh.Samia amemteua kuwa RC wa Kilimanjaro na ndipo alipo hadi sasa.
 
Ninahisi JPM aliponzwa na sifa za kumfananisha na Mungu, halafu yeye hakukemea. Mdo.12:23.
 
Yule anaitwa Stephen Kagaigai mwanzo(pichani) alikuwa karani wa baraza la mawaziri baadaye Magufuli alimteua kuwa katibu wa bunge na baadaye tena Mh.Samia amemteua kuwa RC wa Kilimanjaro na ndipo alipo hadi sasa.
Usipoteze muda kuelimisha asiyetaka elimu...anachotaka ni kubisha tu.
 
Ndio wakati ambao ajira zilianza kutangazwa kwa uvccm kabla hazijaenda public.hili lilisibitishwa na aliyekuwa mkuu wa mkoa wa mbeya kisha mwanza kabla hajatumbuliwa.aliwahi kusema mimi kazi yangu ni kuona fursa za ajira na kuwataarifu uvccm kabla ya wengine.vijana wengi wakajitwalia kadi za ccm ili wapate ajira.

Watendaji wa vijiji na kata nao hawakuwa nyuma.walipewa wenye kadi za ccm bila kujali kama amesomea huo uongozi kwenye vyuo vinavyotambulika na serikali,kila kitu kilipinduka up side down.kwakweli hakukua na uhuru wa kuisema serikali yetu tulio ichagua wenyewe.Mungu aepushe mbali tusije rudi zama zile.
 
Naona sasa hivi "unajiuza"...utanunuliwa
 
Kifo cha Akwilina chanzo ni shetani magufuli.

Kama siyo mchezo wake wa kununuwa wabunge wa upinzani kinondoni pasingekuwa na uchaguzi mdogo na Akwila asingepigwa risasi na Polisi.
Kifo cha Mwangosi chanzo ni shetani babako ama siyo?
 
Nilijitahidi sana kuchangia kampeni ya Chadema nikitumaini itakuwa ni mwisho wa utawala wa ki dhalimu. Udhalimu ukatumika kumrudisha madarani. Mungu alipoleta hitimisho nilifarijika sana.
Kumbe Mungu alileta hitimisho na sasa mna injoi sana ee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…