Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Nashukuru hujapinga japo ni mjinga!Sio uchumi wa kati, bali uchumi wa chini wa kati, tena ni kwa muda mfupi sana. Tungekuwa uchumi wa kati tusingerudi kirahisi kwenye uchumi wa chini. Hivyo jitihada kucha upotoshaji wa kijinga.